Enaboishu Secondary School mpo? Tujadiliane

Mm nakumbuka sana class of 99 to 2001 akina LEAH GINWAS, KATO, EMMA MWENERA, KASH JOSEPH,SUZANE SHAYO, JONATHAN SAMWEL, GEOFREY, NISHA MWICHANDE, JEREMIAH, TUMAIN, NA WENGNE WENGI staff, MSHANGA, TEMU, MASAKI, NDASKOI, MALAMSHA, MWASON B NA M, SAKINOI, NKIN NK
 
Kuna kashimo ka taka kalikuwepo maeneo ya njia ya kwenda toilet kwa wasichana nakumbuka tulikachimbaga sana kama adhabu ya mr. Temu. Dah nakumbuka wik nzima hatuonja darasa twachimba shimo la taka kila mhe. akija anasema bado!
 
Cku moja 2metoroka skul nakumbuka ilikuwa kipind matokeo ya form 4 yametoka so 2kawa 2mefika sanawar pale kwa muuza magazet 2nayachek mara ghafla 2naskia saut ya mr. Nkini wakat huo ndo master yan 2liishiwa poz! Mara master akauliza, "vp mbona mpo huku saa tano hii asubuh muda wa masomo?" 2kampga sound kuwa 2merudishwa ada! Mzee master akasema 2pande beetle yake huyo ka2rudisha had skul njian 2nawaza msala wa huko 2kifika kwn ilikuwa zamu ya TEMU! cha ajabu 2lipo skul master ka2shusha then katwambie 2rud class kama atarud mwalimu ku2rudisha 2mwambie master ka2pa ruhusa then ada 2taleta kesho! Wazeya 2kajidai 2narud class master alipoingia ofisin kwake cc hao 2nasepa ze2 tena kufika nje ya geti Mshanga huyu! Dah unajua kilichofata nini! Yan, NDUKI KALI ndan ya staff houses
 
Nawakumbuka mademu wazuri wa Enaboishu, wakati tunatoroka Ilboru kwenda kutuliza kiu kidogo baada ya kupiga book kali kwa mzee Kitemango.
Mganga wa Jadi, hata mimi nilikuwa Ilboru A-level, nikapata manzi fulani ya form 4 hapo enabo, amini usiamini, niliikuta sealed!. Mungu aibariki sana popote ilipo. Japo hii thread ni ya Enaboishu, maada miongoni mwetu ni wafaidika wa shule hiyo, hakuna ubaya kuchangia.

Kwa wasio fahamu, Ilboru na Enaboishu ni shule mbili tofauti zilizokuwa karibu karibu. Ilboru ilikuwa boys only na Enaboishu ilikuwa co-education mwisho ni O-Level. Enzi hizo, ilikuwa ni shule ya watoto wa mama kibao!, kwa vile wao walikuwa wanasoma na wasichana, basi ubishoo mwingii na washika pembe kibao!.
 
Ina maana humu ndani jamvini products za Enaboishu ni chache sana au?

Ha ha ha Sipo! Enaboishu wako kidogo sana hapa Ila Majirani Zenu wa Ilboru Tuko hapa! Nakumbuka sana Enaboishu tulikuwa na Uhusiano mzuri sana na ninyi hasa katika Masuala ya Graduation na Joint Mass, Watu walikuwa wanaopoa sana duh
 
Enaboishu sec school 1980-1981, ninamkumbuka Nkini kabisa. whatever happened to him. is he still alive?
 
Nkini kastaafu yupo kwake mitaa ya sanawari anakula maisa,ndaskoy naye kastaafu,temu kuna wakati aliparalize alipata nafuu bdae ila sijui kama alirudi kufundisha,mr. Mlay yupo shule ya jirani inaitwa bishop durning,mimi ni mkazi wa sanawari ila sijasoma enaboishu,baada ya kuhitimu chuo,nikapata ajira sehemu mbali na enaboisho so huwa narudi nyumbani nikipata likizo au dharura.
 
Back
Top Bottom