Huck
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 201
- 85
Wadau ni njia ipi ya uhakika ya kutuma barua za kuomba kazi kati ya EMS na posta kawaida,
Naombeni ushauri!
Naombeni ushauri!
EMS ni Huduma ya Posta pia Ambayo yenyewe huwa ina malipo makubwa ukilinganisha na huduma nyingine ya kawaida
Hhuduma ya kawaida barua inaweza kutumia hadi miezi miwili lakini EMS Kwa sehemu ambazo zina Viwanja vya Ndege barua hufika haraka na hata sehemu ambayo haina usafiri wa Ndege EMS husafirisha barua/vifurushi hivyo kwa haraka zaidi
Ila ukitumia njia ya Kawaida ya kulipia sh.500 barua yako ya maombi ya kazi inaweza kufika wakati wenzio wameshaanza kazi.