Empty Sms na maana yake katika uhusiano

Empty Sms na maana yake katika uhusiano

ila empty sms znakuwa na utata pale unapomtumia mpenz wako kwani huumia zaid ikiw mpo jatika mahusiano yasiyo mazuri huhis kuwa huna loloye la kumuambia
 
ila empty sms znakuwa na utata pale unapomtumia mpenz wako kwani huumia zaid ikiw mpo jatika mahusiano yasiyo mazuri huhis kuwa huna loloye la kumuambia

Bora hata empty sms kuliko umtumie sms nzuri au ujumbe wowote kisha akujibu 'K'....khaaaa
 
Mungu pitisha mbali my wife wangu asisome hii thread...

Mleta mada unataka kutuvunjia ndoa zetu? Ila kwa sasa tunatumia njia mpya na kiboko zaidi. siiweki hapa kwa mustakabali wa ndoa yangu.

Mkuu Asprin naomba tupeane hizi darasa I see, ngoja nije pm!
 
Last edited by a moderator:
..Duh, kweli watu mna mbinu, kisa nini...kutest aina tofauti za nyuchi au?
 
No please, the intent of the thread were two-fold, one to share the work experience and second show that there is a sense of great urgency for us to act and change the way we think and practice in relationships -trust me this was the motivation!

Dr. I think Asprin and others we should look more to the root of the problem than the
symptoms of the problem. Empty sms is a symptom of cheating! You have to ask why is your partner
acting fishy or seeking out the attention of someone else. Hi kutongea ndio kuna zaa mbinu kama hizi, na kuna makubwa zaidi.

Kama unaweza kupima ukianza cheating ujue mahusiano yameingiwa doa lisilofutika.
 
Nenda kwenye sms kisha bonyeza kwenye space na utume
Hii simu yangu sijui vipi!!!? Haikubali kituma empty sms !! Duh! Inanibania waziwazi kujifunza mambo ya michepuko!
Asante my katelefoni nisije chepuka nikachepukiwa bure!!
 
Dr. I think Asprin and others we should look more to the root of the problem than the
symptoms of the problem. Empty sms is a symptom of cheating! You have to ask why is your partner
acting fishy or seeking out the attention of someone else. Hi kutongea ndio kuna zaa mbinu kama hizi, na kuna makubwa zaidi.

Kama unaweza kupima ukianza cheating ujue mahusiano yameingiwa doa lisilofutika.

It is absolutely true! I submit to you that the root cause of all these is lack of Love. We have got to learn to trust again, to believe again. Of course it's risk, but everything is a risk. We need to begin to go beyond just 'being' again. We have to get in touch with being human and there is a difference. Love is learned. Psychologists, Sociologists and Anthropologists have told us for years that love is learned. It isn't something that just happens spontaneously. I think we believe it is, and that's why we have so many hangups when it comes to human relationships. In loving people relationships, I think we must learn to return to spontaneity - return to touching each other, to holding each other, to smiling at each other, to thinking of each other, to caring about each other etc, the important ingredients missing in most recent relationships. They might look small, but believe me they are so powerful in cementing a strong relationship and love... Hugs for instance, are good, they feel nice, and if you don't believe it, try it today!
 
Back
Top Bottom