Kweli kabisa hawa wakubwa wanafiki 100%Unajiajirije bila mtaji?Wisdom will kill this old man View attachment 972836
Kweli kabisa hawa wakubwa wanafiki 100%Unajiajirije bila mtaji?
Unaenda bank unapeleka proposal hata ya milioni mbili unaulizwa una mtaji wa shilingi ngapi?Eti unauza shilingi ngapi kwa siku, eti stock yako ni km shilingi ngapi?BADO unaambiwa lete dhamana ya nyumba,kiwanja au gari hivi ulivipata wapi na ndo una 23yrs?
Full ushenzi,wakati maviongozi wako madarakani zaidi ya miaka 30,wamejirundikia pesa zingine mpk wameficha mabenki ya nje na bado hawataki kustaafu ili wazungushe hizo pesa zao kwenye biashara kubwa kubwa km hospitals,viwanda nk
Halafu huyo huyo anamwambia kijana mdogo alietoka chuo leo bila mtaji eti ajiajiri!!!!!SELFISH ni mbaya sana
Brother nimetembea more than 10 banks na wazo langu kuntu jamaa wanasema una wazo zuri ila hatuna utaratibu wa kuwakopesha startup all ni all nimebaki na bet ili ni rise fund niwekeze kwenye wazo langu. Juzi nimemsikia mama mmoja Ud anasema hii michezo ya ku bet ipigwe marufuku[emoji28][emoji28] anataka vijana wafe
Wakati mwingine huyu mzee alikuwa ni kichwaWisdom will kill this old man View attachment 972836
Kama ni kichwa hebu tuambie yeye alistaafu (kwa hiyari) baada ya kuitumikia serikali kwa miaka mingapi? Did he practice what he preach? Mwambie aache ufala! Yeye amengangania nchi miaka arobaini na bado akaiacha ikiwa hoi bin taaban leo awe mshauri kichwa?Wakati mwingine huyu mzee alikuwa ni kichwa
Kama ni kichwa hebu tuambie yeye alistaafu (kwa hiyari) baada ya kuitumikia serikali kwa miaka mingapi? Did he practice what he preach? Mwambie aache ufala! Yeye amengangania nchi miaka arobaini na bado akaiacha ikiwa hoi bin taaban leo awe mshauri kichwa?
Wapumbavu hujadili watu na waelevu hujadili issues, hapo ulipoanza kumjadili mugabe badala ya alichosema inathibitisha wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lamiKama ni kichwa hebu tuambie yeye alistaafu (kwa hiyari) baada ya kuitumikia serikali kwa miaka mingapi? Did he practice what he preach? Mwambie aache ufala! Yeye amengangania nchi miaka arobaini na bado akaiacha ikiwa hoi bin taaban leo awe mshauri kichwa?
Mimi nili m quote aliyesema "Huyu mzee ni kichwa" labda angeandika "Haya maneno ni ya hekima" nisingefanya personal attack kwa mtu! Yeye ameandika "HUYU mzee" that's individual case dude!! Bow down a bit!!Wapumbavu hujadili watu na waelevu hujadili issues, hapo ulipoanza kumjadili mugabe badala ya alichosema inathibitisha wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami
Akili za kina kigwangala za kusahau walikotoka,shenzi sanaKweli kabisa hawa wakubwa wanafiki 100%Unajiajirije bila mtaji?
Unaenda bank unapeleka proposal hata ya milioni mbili unaulizwa una mtaji wa shilingi ngapi?Eti unauza shilingi ngapi kwa siku, eti stock yako ni km shilingi ngapi?BADO unaambiwa lete dhamana ya nyumba,kiwanja au gari hivi ulivipata wapi na ndo una 23yrs?
Full ushenzi,wakati maviongozi wako madarakani zaidi ya miaka 30,wamejirundikia pesa zingine mpk wameficha mabenki ya nje na bado hawataki kustaafu ili wazungushe hizo pesa zao kwenye biashara kubwa kubwa km hospitals,viwanda nk
Halafu huyo huyo anamwambia kijana mdogo alietoka chuo leo bila mtaji eti ajiajiri!!!!!SELFISH ni mbaya sana
Degree zakutosha hazikuwa fakeWakati mwingine huyu mzee alikuwa ni kichwa
Hata kama yeye hakufanya hivyo lkn man has a point... ahaha au unaogopa kustaafu mkuuKama ni kichwa hebu tuambie yeye alistaafu (kwa hiyari) baada ya kuitumikia serikali kwa miaka mingapi? Did he practice what he preach? Mwambie aache ufala! Yeye amengangania nchi miaka arobaini na bado akaiacha ikiwa hoi bin taaban leo awe mshauri kichwa?