The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Nnachojua mimi michael jackson alikuwa anaumwa Vitiligo ... Alichokuwa anafanya yeye mi make up tuu kufanya asiharibike ngozi yake.....
Reje ripoti ya kifo chake ... Mambo waliyogundua, ila surgery ya pua alifanya kweli kutokana na maisha yake yote kutaniwa ana pua kunwa akaona isiwe kesi
Asa wewe umesoma ripoti ipi yenye validity kushinda hii ya kifo chake?
el nino@
wa enzi hizi ni mshana jr
Ushahidi mwingine wa picha...View attachment 284083View attachment 284084View attachment 284085
View attachment 284082
102 facial surgeries ni myth iliyotungw kumchafua Michael.... Ukitaka kujua alikuwa na vitiligo au la... Tafuta ripoti ya kifo chake... Pamoja na interview yake na oprah ya mwaka 93
Sio myth ni fact na hili la 102 facial surgeries analiconfirm kwenye documentary yake...yule 2006/7 aliregret kwa kitendo alichokifanya na kuomba msamaha kwa waafrika! Asa ww umekazana kumsemelea kama correspondent wake.
Wewe unakazana kumtetea kwa kuwa tu umesoma hiyo ripoti moja!!!!
Nimekupenda bure mkaka...ukuje kijiweni kwetu sasa hivi
Nilipita haupo narejea
Ina maana aliuza nakala mingi kuliko bob marley??
Si ndo hapo Mj mwenyewe alishakiri kuwa alijikwatua na alikuwa hapendi uafrika, at the same time -effects za vipodozi zilimletea kansa ya kunyofoka viungo... Yeye amekazana ni Vitiligo!!!