Emotions..Mapenzi hayachagui..

Emotions..Mapenzi hayachagui..

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
848
Reaction score
664
Watu wengi wanafikiri ndege na wanyama hawana hisia. Angalia picha, ndege jike alikuwa amjeruhiwa vibaya na gari na kulala chini kwenye barabara..

Angalia, ndege dume akawa anampelekea chakula kwa upendo na huruma.

Angalia, baadaye akamletea chakula tena lakini alishtushwa kuona amekufa. Hakuamini akajaribu kumvuta, lakini alikuwa amekufa..Akalia kwa uchungu na mapendo..Na akasimama pembeni mwa mwili wa mpenzie asijue afanye nini kwani pendo lake limeondoka...

Mapenzi hayachagui…fuatilia kwa picha hapo chini..

2n.jpg
 
^^
Kuna additional emotion inaitwa PESA
ndio inaelekea kuwa master emotions
^^
 
hisia za ajabu sana ndugu!

hivi hata hawa wanaozaa na wlemavu wa akili, huwa ni hisia ama?
 
hisia ni hisia tuu na kila kiumbe hai anayo hata mimea, pia

Ni kweli kabisa....ila hisia za mimea na wanyama wengineo sio za kufeki kama za binadamu........nahisi hiyo specie ya ndege ni moja ya wale wanao pare for life....yaani no cheating mpaka kifo kiwatenganishe.......na hata ikitokea mmoja akifa huyo mwingine atakua single mpaka afe...hawezi kupata demu mwingine.....its very touching....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom