Laiti wanandoa hawa wasingekuwa maarufu kama walivyo, na cha zaidi kabisa wasingekuwa na mtoto!Huyo Flora ameshakuwa halali kwa walimwengu sasa, maana hata huko aliko jisetiri watamfukuza muda si mrefu.
Si kesi inaenda mahakamani?
Stori ndo kwanzan inaaza, alikuwa wapi wakati mwenziwe anadaiwa kubaka.
Check it out-attention ya stori hii lazima itahamia kwa Flora.
Laiti wanandoa hawa wasingekuwa maarufu kama walivyo, na cha zaidi kabisa wasingekuwa na mtoto!
Kama wengi tunavyojua ndoa inaitwa 'PINGU ZA MAISHA' na wala hakuna kulelax kwenye ndoa, inakupasa kuumia kwa ajili au niaba ya mwenzi wako. Na kwa vile ni kupitia milima na mabonde basi inapasa kuangalia kama kuna kipindi mliwahi kupendana basi mchukulie huo wakati kama mfano wa nyakati za matatizo.
Kwa kifupi wanandoa hawa wangelishtuka mapema wangeliweza kuyaweka sawa mambo yao lakini sasa yameshavuja na atakayeteseka zaidi maishani mwake na hata wajukuu (historical torture) ni mtoto aliyetokana na hii ndoa!
Bullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
ONYO: Aisee nifanye chochote utakacho, LAKINI KUNIGUSIA MKE WANGU AISEE patashimbika - uwe billionea au fukara kama mimi yaani cha moto lazima ukione, nikikushindwa kwa nguvu za NURU basi lazima tumalizane kwenye nguvu za GIZA. Lazima nikushushe shipa aisee!! hata kama ni nabii shipa lazima lishuke tu!!
Sidhani kama The Bold ndiye Mbasha. Mtiririko wa kuandika wa Emmanuel Mbasha naujua. Yaani jamaa ni kama hajaenda shule. Hana ubavu wa kutiririka mistari na kuipangilia kama alivyofanya The bold. Kuna siku niliwasiliana naye kwa sms nikitaka waje kutumbuiza kwenye harusi fulani hivi. Namna alivyokuwa anajibu, kwa kweli nilishangaa sana. Hata r kwake yeye ni l.
Karibu uraiani The Bold
USITUMIE UTI WA MGONGO KUFIKIRI.......kwani Flora ungemshauri mdogo wake asishitaki angekataa................?aliyemshitaki mbasha siyo flora ni huyo mdogo mtu
Makosa ya ubakaji ni pamoja na Kushurutisha kudoo, kumshika makalio au nyonyo bila idhini, nk...........hata kama ni Mkeo/Mumeo........namaanisha hakuna kesi ya kubana bila kuzini.
ili kuonyesha umebaka lazima sperm zionekane kwa uliyembaka, na mwanamke aonekane kaingiliwa.
USITUMIE UTI WA MGONGO KUFIKIRI.......kwani Flora ungemshauri mdogo wake asishitaki angekataa................?
USITUMIE UTI WA MGONGO KUFIKIRI.......kwani Flora ungemshauri mdogo wake asishitaki angekataa................?
kuna mtu aliuliza swali zuri...hivi mtu anabakwaje kwenye gari? kupiga show kwenye gari hata kama hubaki inahitaji ubunifu na medium acrobatic skills kutoka kwa demu....sasa dogo yake flora inadai mara ya pili alibakwa ndani ya gari!!!!
Hajabaka, kasingiziwa kubakaBullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
Nataka nipate pichaheee kulikoni?