Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

TUPAC WA MWAKALELI

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
354
Reaction score
109
EMMANUEL MBASHA AACHIWA KWA
DHAMANA!
Muimbaji wa dini, Emmanuel Mbasha (ambaye ni
mme wa Flora Mbasha) anayekabiliwa kwa kesi ya
ubakaji, ameachiwa kwa dhamana na kesi itatajwa
tena julai 17.
Emmanuel Mbasha amefikishwa leo mahakama ya
Ilala na kupatiwa dhamana hiyo baada ya kutimiza
masharti yaliyohitajika.
Bwana Emmanuel Mbasha alifikishwa mahakamani
hapo kwa shitaka la kumbaka msichana mwenye
umri wa miaka 17 anayedaiwa kuwa shemeji yake
 
emma kama kweli hao wamekubambikizia kesi cha moto watakionaaaa
 
Nilishangaa kuona na housegirl eti nae kaingia kwenye kesi. Sasa hivi mkeo akichukuliwa na kukuacha na housegirl na mdogo wake wewe ukale wapi na kitu kimesimama usiku, unakituliza kwa neno bado kimesimama tu? Ukizingatia kuokoka kunamfanya asionekane kwenye viunga vya dada pooozi
 
Kambake na mke wa Gwajima huku flora akiona.., tena mtumie Flora wabakaji na yeye aonje utamu wa kubakwa..
 
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji
 
EMMANUEL MBASHA AACHIWA KWA
DHAMANA!
Muimbaji wa dini, Emmanuel Mbasha (ambaye ni
mme wa Flora Mbasha) anayekabiliwa kwa kesi ya
ubakaji, ameachiwa kwa dhamana na kesi itatajwa
tena julai 17.
Emmanuel Mbasha amefikishwa leo mahakama ya
Ilala na kupatiwa dhamana hiyo baada ya kutimiza
masharti yaliyohitajika.
Bwana Emmanuel Mbasha alifikishwa mahakamani
hapo kwa shitaka la kumbaka msichana mwenye
umri wa miaka 17 anayedaiwa kuwa shemeji yake

Bullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
 
duh!

bukos12.JPG
 
Kesi za kuua Tanzania zina dhamana itakua kijikesi cha kubambikiwa kumkula beki tatu. kwani kuna sehemu walisema alimtoa bikra. huyu beki tatu hata makalioni hana bikra. Chezea mzee wa upako wewe !!!!
 
Back
Top Bottom