Emmanuel Mbasha, ni nani alikuroga?

Mleta uzi acha unoko ulitaka amwache akuoe wewe??

Minaume mingi ya kitanzania ni majuha sana sijawahi kuona,kwa hiyo ni halali kukaa na mwanamke anayeka ufungwe? Hivi umelelewa wapi ngedere wewe? Na hapo ulipo ni lazima una mwanamke kahaba na huwezi kumwacha ulivyo juha mtozeni,badala ya kujenga hoja unakuja na matusi.
 

Na kama alibaka kweli je? Unajuaje kama mkewe alitoa ushahidi wa kufunika ukweli ili mumewe alone asifungwe? Haya mambo tuwaachie watu wa magazeti ya udaku
 
Huyo ni Marioo katika ubora wake anategemea kutunzwa na Mwanamke, Amejiloga mwenyewe.

Mwanamke anayetaka uozee jela pia anaweza kukuua muda wowote.
 
mi yeyote atakaetaka kunifunga jela hata kama ni ndugu yangu siku hiyo hiyo undugu unaishaa, jela sio kuzuri ..........huyo jamaa ni mgonjwa wa akili akapimwe.
 
Mwiko kuingilia ndoa ya wenzio
Utabaki midomo wazi
Wanachopeana wala hukijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…