Emmanuel Mbasha, ni nani alikuroga?

Lazima ampende maisha ya mjini yaendelee. Lakini huyu jamaa ni bure kabisa. Mwanamke akusaliti ukiona, akutengenezee kesi ya ubakaji na bado uendelee kumng'ang'ania? Bure kabisa kama mavi ya kuku
 
jamaa mjanja anajua akikubaliwa sasa atakula wote wawili ki halali kabisa.teh teh teh
 
Msiingilie ndoa iliyofingwa na Mungu. Waacheni wenyewe waamue. Hayo mengine ni changa moto za kimaisha tu.
 
Mapenzi ya wanandoa ni tofauti na ufikiriavyo. Utashangaa soon wanarudiana. Mungu ni mwema

Kwa mchafuano waliofanya, kama wakirudiana sijui wataanzaje kufanya tendo la ndoa. Flora kama anajitambua sidhani kama atakubali kurudiana.
 

Kwa hiyo hujui maana ya mume bwwege----?
 
hongera mbasa.
japo wasojua maana halisi ya ndoa hasa ya kikristu watakubeza sana.umetimiza wajibu wako mengine muachie mungu ahukumu yy.
wajibu wako ni samehe tu,hayo mengine si wajibu wako ni wa mungu.
safi sana na hiyo ndo tafsiri sahihi ya kuhubiri injili kwa vitendo na kujitwika msalaba wako kumfuata kristu.km mnalitazama jambo hili kimtaani zaidi mtamuina jamaa mjinga.lkn jamaa kamuaibisha shetani sana kwa kufanya hivi
 

Gwajma akisoma hili andiko lako atakucheka sana..maana hujui ulisemalo
 
Gwajma akisoma hili andiko lako atakucheka sana..maana hujui ulisemalo

hakuna ujanja mkubwa duniani km kufanya mapenzi ya mungu na hakuna ujinga mkubwa km kufanya mapenzi ya binadamu.
ufahamu wako bado mdogo sana.
gwajima ni nani ktk kufanya mapenzi ya mungu.gwajima ni km mwanamazingaombwe tu.hivo hapaswi kulinganishwa kwa chochote mtu anapotaka kumpendeza mungu.acha kuwa lofa kiroho
 
Mmh! Sio kwamba si amini katila upendo au katika kusamehe na kusahau, ila kwa knowledge yangu ndogo Wanaume huwa wana kisasi flani cha kukomoa. Ina wezekana wakarudiana na Flora akiaha jisahau na kurudisha upendo wake wote Jamaa naye ana mtema ili na yeye asikie machungu ya kusalitiwa. So Flora must take one stape at a time na atafakari na kuomba sana. Ila for the timebeing wanaweza kuanza kwa kuwa Marafiki tu.
 
daah huyo kashapigwa libwata la kimanyema.. hata akishikwa makalio yeye ataona poa2
 
upendo wa kweli huvumilia, hauhesabu mabaya, hauna sababu, husahau yote, hauishi moyoni milele, hauna unafiki!!! yereeeee uwiiiiiiii Mbasha amependa kikweeee kikweliiiii

Chezea maloveee weyeee acha kabisaaaa
Khaa!! Mapenzi two way trafic vinginevyo ni ujinga :cool2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…