BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
....aaaarrggghh humtakii nini kwani? Adebayor hakosi goli 😀 !
Hailekei kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!....aaaarrggghh humtakii nini kwani? Adebayor hakosi goli 😀 I can't imagine Ade akim partner Berbatov duuuuh, si uvivu huo... Eqlypz, Belo, Nziku, Saikosisi mpoooooo?!
Mbona nyie mmemuachia kama hakosi goli? Mr. Bean atamkosa sana na yeye pia muondoeni au mnamuogopa?
Nimeshazoea Adebayor anachezea Arsenal..itakuwa kazi kumzoea kama anakuja manure bwana!..
Kaka heading haijatulia Adebayor kaenda Man City and sio Man United.Asanteni kwa kunisikilizaFootball transfer rumours: Emmanuel Adebayor to Manchester United?
HABARI ZILIZOTUFIKA KWAMBA TAYARI EDABAYO ANAMPANGO KWA KWENDA MAN U.
...aarghh BJ, Ade kawakosea nini jamani? mpeni muda mtamzoea tu...
...aarghh BJ, Ade kawakosea nini jamani? mpeni muda mtamzoea tu...
The Togolese passed a medical and had a work permit granted yesterday, according to reports, but was also this morning apparently having second thoughts, as he worried that the move might be percieved as greedy back in his homeland.
Man City wameshikilia uskani kwa hiyo wataendesha makubaliano wanavyotaka wao na hiyo STG 170K kwa wiki hawako tayari kumpa, kwa hiyo agent na adebayor wanaanza kucheza game ya seconds thoughts and blah blah lakini ki ukweli ukweli wanataka.
Iko hivi,E.Adebayor siyo kwamba ameanza kutapatapa bali ni kutokana na shinikizo la mashabiki wa ARS hasa wale waliopo UK baada ya ARS kutolewa katika UCL na Man-U siku iliyofuatia baada ya second leg pale Emirates stadium mashabiki walipeleka malalamiko katika Club wakidai hawamtaki Adebayor katika timu.Na baada ya siku mbili AW akamuweka Adebayor ubaoni kwa thamani ya paundi million 25 na baadaye Cesc 40 hakuna kujadili.AW alisema lengo ni kuimarisha kikosi.Adebayor atamkumbuka wenger. kishaanza kutapatapa asubuhi asubuhi. Namkubali wenger kwa philosophy yake kuwa wako kina kaka , ronaldo fabregas,na adebayor wengi tu tatizo ni kuwa wengine hawasemwi na hawajulikani. zaidi ya hapowenger anakuambia mchezo wa mpira ni wa wachezaji 11 sio mmoja. kwa nini moja ajione bora zaidi kuliko wenzake na alipwe mara tatu zaidi ya mwenzake. kama anafunga goli aju kuna mwemzake anazuia magoli yasifungwe.