Emirates yanunua ndege 40

Emirates yanunua ndege 40

Usafiri wa anga ndio usafiri unaopendwa na kuaminiwa sana duniani na itachukua miaka mingi sana kutokea usafiri ambao unaweza kupindua fikra za watu juu ya usafiri wa anga rabda miaka 150 ijayo ndio kuna uwezekano wa kuwepo usafiri utakao tishia ushafiri wa anga na usafiri huo ni Hyperloop ambao utakuwa na speed sana zaidi ya ndege lakini itachukua miaka mingi sana mpaka kuconnect dunia kama ilivyo kwa ndege. Kuna mashirika zaidi ya 2000 duniani yanayo operate zaidi ya ndege 23,000 kwenye viwanja vya ndege zaidi ya 3,700 Duniani mpaka kufikia mwaka 2006 kulikuwa na zaidi ya safari milion 72 zilizobeba zaidi ya abiria bilion 2.3 kwa mujibu wa International Air Transport Association (IATA)

Ukuaji wa biashara hii imekuwa ikikua kwa kiwango cha 5% kila mwaka kwa kipindi cha miaka 30 mfululizo na inasadikika pato la safari za anga linaweza kukua mpaka mara mbili kwa kipindi cha mika 10-15 ijayo kwa Marekani pekee mashirika 100 ya ndege yanafanya zaidi ya safari milion 11 kwa mwaka na kubeba zaidi ya abiria 745 milion na zaidi ya watu 545,000 wamepata ajira kwenye ndege 8000 zinazofanya safari 31,000 kwa siku , kumbuka Marekani ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutumia sana usafiri wa ndege ikifatiwa na China na UK pato la Biashara hii ya anga kwa mwaka ni zaidi ya$ 1.2 Tillion

United Arab Emirates na Qatar nchi ambazo kwa pamoja zina eneo la ukubwa wa square kilometres 78,926 ndani ya nchi hizo kuna mashirika makubwa matatu ya ndege Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways mashirika haya ukiangalia yameanza miaka ya 1985,1993 na 2003 lakini yamekuwa ni tishio kwa mashirika ya ndege Duniani na wao kutawala Anga la Dunia ktk Usafiri wa Anga


Mashirika haya unaweza sema hayajiendeshi kibiashara kwani kila mwaka serikali inapump mabilion ya dola kwenye mashirika haya kununua ndege za kisasa zaidi ya dola billion 50 zimetumika na mashirika haya kujijenga kutoka serikali zao si kwa mtaji wa mshirika au faida wa kampuni kitendo ambacho kinaondoa ushindani ktk usafiri wa anga kwa mashirika mengine yanayojiendesha yenyewe kwa pato la shirika pia mashirika haya pamoja na kuwa na madege ya kisasa bado yanauza ticket kwa bei ndogo si ya kisoko kitendo ambacho hakuna shirika lolote Duniani litakaloweza kupambana na mshirika hayo na mwisho wa siku Anga la Dunia katika usafiri wa anga litakuwa chini yao kama walivyoteka Anga la Europe,Asia,Africa na wanakwenda kuteka na US muda c mrefu kwani mpaka sasa order za ndege mpya kwa makampuni haya matatu yani order za kutengenezewa ndege mpya kutoka Boeing na Airbus ni 539 yani Emirates 222, Qatar 169 na Etihad ni 148 huku order za ndege mpya za makampuni yote ya US ni 159 na order zote za ndege mpya za makampuni ya China ni 76 so unaweza kuona soon waarabu wanatawala anga la Dunia

Umejieleza vizuri mno mkuu. Hongera sana
 
Inamaana biashara ya ndege inalipa sana endapo ukipata managment inayo eleweka... ATCL awekwe hapo juu mwarabu wa Dubai aendeshe hili shirika
Si kwamba wana Management nzuri rabda kuliko makampuni makongwe kama KLM au British Airways sema makampuni haya ya Gulf Carriers yani Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways kutoka nchi mbili za United Arab Emirates na Qatar yanatumia fedha za serikali zao kwenye Biashara hii naweza kukupa mfano tu wa Emirates Airlines mjomba wake wa mtawala wa Dubai Shiekh Ahmed bin Saeed Al Maktoum ndio ECO wa Emirates ndio mkuu wa Civil Aviation Authority ya Dubai taasisi inayomiliki viwanja vya ndege Dubai ambapo ndipo makazi ya ndege zote za Emirates Airlines pia ndie mkurugenzi wa Shirika la mafuta ya Dubai shirika lenye wajibu wa kuweka mafuta kwenye ndege za Emirates pia ndio CEO wa ma Bank ya serikali ya Dubai Bank ambazo ndizo zinaikopesha pesa Emirates Airlines kununua midege so unaweza kuona kote maamuzi ni ya mtu mmoja sasa hapo unadhani kitatokea nini ? nikupe sifa moja ya waarabu coz nimekaa nao waarabu siku zote wanataka kufanya kitakacho wapafuraha bila ya kujali Faida au Hasara itakayopatikana ukifanya utafiti mijumba iliyokuwa inanunuliwa mamilioni 200-billion huko Tanganyika maeneo ya Temeke ,Magomeni,Mwananyamara sehemu ambazo kwa Mtu mweusi au mzungu kununua kiwanja au kijumba na kukibomoa na kujenga makazi na si sehemu ya biashara kwa milion 200 mpaka billion ni ngumu sana lakini waarabu wanaweza

Waarabu hasa hizi GC wanachotaka ni kutawala biashara ya usafirishaji wa anga bila kujali wanapata faida au hasara kwa sasa lakini uwekezaji wao kwa baadae unafaida sana kwani usafiri wa anga ndio usafiri pekee unaopendwa na kuaminiwa sana na watu wa kada mbalimbali na unatumiwa na watu wengi kuanzia viongozi,matajiri na watu wa kawaida na kweli ndani ya miaka hii 10-15 ijayo mashirika haya yatakuwa yametawala biashara ya usafiri wa anga duniani kwani mashirika mengi yamevunja route kwa kushindwa ushindani na mashirika hya kwani mashirika haya wana ndege nzuri na mpya pia wanauza ticket kwa bei nafuu je swali kila kampuni wanapovunja route fulani hapo nafasi pia za ajira zinapunguzwa so imagine ni makampuni mangapi duniani yamevunja route sehemu mbalimbali duniani kwa kushindwa ushindani ambao si fair kwa makampuni hayo?

SirChief Nyanjomigire BlackPanther
 

Boeng imeanzisha maonyesho yake ya ndege huko Dubai kwa kutangaa mauzo makubwa mapya katika maonyesho hayo ya siku tano.

Ilitangaza kuwa Shirika la ndege la UAE la Emirates limeagiza ndege 40 za Boeng 787 Dreamliners, katika mkataba wa thamani ya dola bilioni 15.

Emirates kupunguza safari za Marekani

Mwenyeki wa shirika hilo Sheikh Ahmed bin Saeed al-Maktoum, amesema kuwa Boeng imechaguliwa badala ya Airbus A350.

Alikuwa ametarajiwa kutoa tangazo kubwa la kuagiza ndege za Airbus A380 superjumbo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari.

Airbus inahitajia ndege zake za A380 kuagizwa zaidii zikiwa ndizo ndege kubwa zinazotumika kwa sasa.

Emirates ndilo shirika la ndege kubwa zaidi mashariki ya kati likiwa mnunuzi mkubwa zaid ya Boeng 777 na lina ndege 165 zinazohudumu likiwa tena limeagiza ndege 164.


Muungwana

Ukichunguza utagundua Dubai wanamiliki mafuta yao kwa asilimia 100 sio 16.
 
Si kwamba wana Management nzuri rabda kuliko makampuni makongwe kama KLM au British Airways sema makampuni haya ya Gulf Carriers yani Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways kutoka nchi mbili za United Arab Emirates na Qatar yanatumia fedha za serikali zao kwenye Biashara hii naweza kukupa mfano tu wa Emirates Airlines mjomba wake wa mtawala wa Dubai Shiekh Ahmed bin Saeed Al Maktoum ndio ECO wa Emirates ndio mkuu wa Civil Aviation Authority ya Dubai taasisi inayomiliki uwanja wa Dubai wa ndege pia ndie mkurugenzi wa Shirika la mafuta ya Dubai pia ndio CEO wa mabank ya serikali ya Dubai hapo unadhani kitatokea nini ? nikupe sifa moja ya waarabu coz nimekaa nao waarabu siku zote wanataka kufanya kitakacho wapafuraha bila ya kujali Faida au Hasara itakayopatikana ukifanya utafiki mijumba iliyokuwa inanunuliwa mamilioni 200-billion huko Tanganyika maeneo ya Temeke ,Magomeni,Mwananyamara sehemu ambazo kwa Mtu mweusi au mzungu kununua kiwanja au kijumba na kukibomoa na kujenga makazi na si sehemu ya biashara kwa milion 200 mpaka billion ni ngumu sana lakini waarabu wanaweza

Waarabu hasa hizi GC wanachotaka ni kutawala biashara ya usafirishaji wa anga bila kujali wanapata faida au hasara kwa sasa lakini uwekezaji wao kwa baadae unafaida sana kwani usafiri wa anga ndio usafiri pekee wenye usafiri unaopendwa na kuaminiwa sana na watu wa kada mbalimbali na unatumiwa na watu wengi kuanzia viongozi,matajiri na watu wa kawaida na kweli ndani ya miaka hii 10-15 ijayo mashirika haya yatakuwa yametawala biashara ya usafiri wa anga duniani kwani mashirika mengi yamevunja route kwa kushindwa ushindani na mashirika hya kwani mashirika haya wana ndege nzuri na mpya pia wanauza ticket kwa bei nafuu je swali kila kampuni wanapovunja route fulani hapo nafasi pia za ajira zinapunguzwa so imagine ni makampuni mangapi duniani yamevunja route sehemu mbalimbali duniani kwa kushindwa ushindani ambao si fair kwa makampuni hayo?

SirChief Nyanjomigire BlackPanther

Dah Mungu akubariki kamanda. Nimejifunza mengi mno kutoka kwako.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sie tununue abood 500 zipige kazi mpk watu wa mpanda wafurahi

Mungu zibariki hizo kampuni waongeze ndege zaidi na zaidi ili watu wapate ajira,,,bila kusahau kampuni kubwa ya ATC ambayo inamiliki ndege moja na moja ipo lockup nchini canada.kwa sasa kampuni yetu inatumia ndege bora kuwahi kutokea katika uso wa tanganyika na zanzibar,,,BOMBADIA
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mungu zibariki hizo kampuni waongeze ndege zaidi na zaidi ili watu wapate ajira,,,bila kusahau kampuni kubwa ya ATC ambayo inamiliki ndege moja na moja ipo lockup nchini canada.kwa sasa kampuni yetu inatumia ndege bora kuwahi kutokea katika uso wa tanganyika na zanzibar,,,BOMBADIA
Hahahahaha Bombadia wakti wenzetu wana Airbus A380
 
Back
Top Bottom