Eminem the warning kwa Mariah carey

Status
Not open for further replies.
Nimeingia sijaona release date.....can you provide the link to it?
 
Im not interested in the diss...I want to know the release date of Relapse 2

Relepase 2 ni continuation of Relapse ambayo imetoka May 2009 and relapse 2 itakuwa release 4 quarter of 2009 so be patient bado yupo anaiweka sawa i dont know how manys ongs zitakuwa kwenye hiyo relapse 2.Date bado haijawa confirmed.
 
Wacha kudandia treni kwa mbele. This should be taken as a warning.
mzee anayedandia trein kwa mbele hapa ni wewe!! hujua kwa habari hizi unazoziita za umbeya ni kazi za watu na zinawalisha ..na ndiyo maana tuna ma celeb
 

Yeeah man, that's Slim Shaddy man!
 

Taratibu mkuu, Eminem alirusha taulo kwenye beef yake na Benzino (track ya Toy Soldiers).
 
Kuna beef zingine hazina maana. Sasa EM ana beef na Benzino....kwanza watu watauliza...Be who? EM had nothing to gain from that beef
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…