EMINEM na STAN wake

EMINEM na STAN wake

IMG_1810.JPG
 
Hii ngoma nai
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu wanamuziki watatu (3) bora tangu muziki wa HIPHOP upate kuanzishwa, kwangu mimi hiyo "list" inakuwa ni batili kama jina la mkali EMINEM halipo katika hiyo "list". Naam kwangu mimi EMINEM ndio msanii bora kuwahi kutokea kwenye "game" ya HIP HOP (Mnisamehe sana mashabiki wa TUPAC na BIG, maana ni wazi kuwa nitakuwa nimewakera mno).
View attachment 1075251

Haya, niwarudishe kwenye lengo la "thread". Leo nikiwa natazama video mbalimbali za muziki nikakutana na video ya STAN kutoka kwa mkali wangu EMINEM akimshirikisha mwanamama DIDO kutoka Uingereza. Wimbo huu unamzungumzia mshikaji mmoja anayefahamika kama STAN (Stanley), huyo jamaa anamkubali vibaya mno msanii EMINEN, anamkubali EMINEM kiasi kwamba ilifikia hatua akawa anagombana na mke wake, jamaa alifikia hadi kubadilisha muonekano wake ili aweze kufanana na EMINEM.
Sehemu ya Video inaonesha STAN akimuandikia barua EMINEM kulalamika jinsi alivyokua akimpuuzia, STAN alikuwa anajitahidi kuhudhuria show za EMINEM ili EMINEM atambue jinsi anavyomkubali, juhudi za STAN ziligonga mwamba,kwasababu EMINEM hakuonesha kujali kabisa.
Baada ya kumaliza kuandika barua hiyo STAN anaamua kumchukua mke wake ambae alikua mjamzito na kumuingiza kwenye buti ya gari, kisha anaendesha gari mpaka darajani kisha analiingiza gari kwenye mto, hivyo kutokana kutoonesha kujali kwa EMINEM, STAN anaamua kujiua yeye pamoja na mke wake mjamzito, inashangaza eeenhe?
Kwangu mimi hii ndio video bora kuliko zote kutoka kwa mkali EMINEM.

Kutokana na huu wimbo neno "Stan" limeingizwa kwenye kamusi za lugha ya KIINGERZA likiwa na maana kama "USHABIKI ULIOPITILIZA KWA MTU MASHUHURI/MAARUFU"

Kwa wale mnaomkubali EMINEM kama mimi, taja wimbo unaokubamba kutoka kwa mkali huyu.

kubali sana
 
Kama kuna nyimbo nyingine zake unaweza kuzieleza itasaidia sana
 
Till I collapse
When am Gonne
Lose yourself
Monster
I love the way you lie
Mocking Bird
Stan
Space bound
Clean out My closet
Lucky you
Walk on the water
Kifupi pia Ni Mc mkali wa muda wote afu sio Nigga
Huko mstari wa mwisho...
Mimi huwa najiuliza ilikuaje EMINEM akawa Mzungu..!?
Maana aina ya muziki anaofanya ni muziki wa MTU mweusi..!
 
Sikupingi hayo ni mawazo yako mkuu, nayaheshimu

Acha na mie nichangie kutaja wimbo ambao upo katika top ten yangu ya ngoma za hip hop ninazozikubali zaidi nayo ni
Mocking bird
 
Tupo asee,mm ni stan wa soka,namkubali sana rooney,ad nkaanzisha mahusiano na binti wa watu tukiwa machalii ili baadae tukitoboa tuwe tuna ka hstoria tumetoka mbali km WR10 na mkewe,ah ah ah hadi sasa mambo yako poa,rooney nimebaki alone,coleen wangu kaolewa na niliemkuzia
Hahaa!! Pole mkuu.
 
Dah

Me ndo maana nimeshindwa kuweka list

Ntaweka upi niache upi? Renegade never being afraid to say abt anything

Nakumbuka nimebishana sana na wana Juu ya nan alimfunika mwenzie
Kwangu mimi eminem alimfunika jigga
 
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu wanamuziki watatu (3) bora tangu muziki wa HIPHOP upate kuanzishwa, kwangu mimi hiyo "list" inakuwa ni batili kama jina la mkali EMINEM halipo katika hiyo "list". Naam kwangu mimi EMINEM ndio msanii bora kuwahi kutokea kwenye "game" ya HIP HOP (Mnisamehe sana mashabiki wa TUPAC na BIG, maana ni wazi kuwa nitakuwa nimewakera mno).
View attachment 1075251

Haya, niwarudishe kwenye lengo la "thread". Leo nikiwa natazama video mbalimbali za muziki nikakutana na video ya STAN kutoka kwa mkali wangu EMINEM akimshirikisha mwanamama DIDO kutoka Uingereza. Wimbo huu unamzungumzia mshikaji mmoja anayefahamika kama STAN (Stanley), huyo jamaa anamkubali vibaya mno msanii EMINEN, anamkubali EMINEM kiasi kwamba ilifikia hatua akawa anagombana na mke wake, jamaa alifikia hadi kubadilisha muonekano wake ili aweze kufanana na EMINEM.
Sehemu ya Video inaonesha STAN akimuandikia barua EMINEM kulalamika jinsi alivyokua akimpuuzia, STAN alikuwa anajitahidi kuhudhuria show za EMINEM ili EMINEM atambue jinsi anavyomkubali, juhudi za STAN ziligonga mwamba,kwasababu EMINEM hakuonesha kujali kabisa.
Baada ya kumaliza kuandika barua hiyo STAN anaamua kumchukua mke wake ambae alikua mjamzito na kumuingiza kwenye buti ya gari, kisha anaendesha gari mpaka darajani kisha analiingiza gari kwenye mto, hivyo kutokana kutoonesha kujali kwa EMINEM, STAN anaamua kujiua yeye pamoja na mke wake mjamzito, inashangaza eeenhe?
Kwangu mimi hii ndio video bora kuliko zote kutoka kwa mkali EMINEM.

Kutokana na huu wimbo neno "Stan" limeingizwa kwenye kamusi za lugha ya KIINGERZA likiwa na maana kama "USHABIKI ULIOPITILIZA KWA MTU MASHUHURI/MAARUFU"

Kwa wale mnaomkubali EMINEM kama mimi, taja wimbo unaokubamba kutoka kwa mkali huyu.
Mkuu muwe mnaweka tena vwimbo venye story km hz... Huu wimbo story yake n zaid ya muv
 
Sikupingi hayo ni mawazo yako mkuu, nayaheshimu
Acha na mie nichangie kutaja wimbo ambao upo katika top ten yangu ya ngoma za hip hop ninazozikubali zaidi nayo ni
Mocking bird
Nisamehe tu Kiongozi...
Hauna namna...
Ila Pac namuelewa pia..!
 
Kibongo bongo ukiwa kama Stan lazima uitwe Shoga tuu .Yani no way to escape this.
 
Ahahaaaah...
Umefikiria nini sijui mkuu..!?
Ila hata hivyo huyu Stan wa Eminem kuna sehemu anaonesha element za kumpenda Eminem zaidi ya anavyompenda mke wake..!
 
Napenda sana "Mocking bird", a very good song about family separation ,hardship na impact kwa watoto kama Haillie, Napenda "When am gone", pale ambapo matakwa ya wazazi yanakuwa against wishes za mtoto, "I need a Doctor: with Dr Dre naipiga sana pale napokumbuka watu walio nisaidia kutoka katka hatua mbalimbali za maisha.

Napenda wimbo wa "Beautiful", Em raps about yeye kutokuwa kwenye game muda mrefu na struggle anazopitia watu hawamuelewi anarap pia about his city Detroit the once largest manufacturing city in the 1950s had sasa mji umekuwa kama magofu

Nikiwa na mwanangu namuimbia "Hailie Song", the only song Eminem tried to sing na sio kurap, Back in the days shuleni nilikuwaga nawakusanya wana kisha naanza kuwashushia mistari ya "Cleaning my Closet"

Aisee ntajaza uzi peke yangu, napenda kila wimbo wa huyu kichaa, na shinda sana https://genius.com/artists/Eminem , na mara nyingi huko kinachonipelekaga ni kutafuta deep meaning ya nyimbo za Eminem,na sometimes Kanye na Jay z, na sometimes nachangia pia vile nimeelewa, Uzuri eminem yupo verified kule so sometimes watu wanaweza enda chaka kutafsir wimbo wake yeye akaurekebisha kile alicho maanisha.

I think ushabiki wangu kwa huyu jamaa ni only second after Stan, pumb**fu i even follow Hailie on Instagram https://www.instagram.com/hailiejade/?utm_source=ig_embed , yule binti ambae nadhani anashikilia record ya kuwa mtoto alieimbwa katika nyimbo nyingi zaidi duniani.

Sema na humu nako nimekutana na ma Stan wengi sana aiseee.
 
Back
Top Bottom