EMINEM na STAN wake

EMINEM na STAN wake

Hapa anaonesha Kuna kitu anataka kuacha lakini hawezi so hatujui huyo Monster Ni nani kati ya cocaine au wazee wa kazi
Monster alikua ni cocaine mbona alishalizungumzia hilo, alikua anaelekea kubaya ikabidi aombe msaada wakampeleka Rehab.
 
Baada ya Mariah Carey kumdiss na ile ngoma ya 'Obsessed' mchizi akaachia kitu kinaitwa 'Warning',
damn, nadhani hapo ndio Carrer ya Mariah ilipo Rest in Peace.

Another song, Killshot a diss to MGK anakwambia
"Stan, Stan, son, listen man, dad isn't mad
But how you gonna name yourself after a damn gun and have a man bun?" lol,

mpaka leo Mgk kimyaaaa.
 
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu wanamuziki watatu (3) bora tangu muziki wa HIPHOP upate kuanzishwa, kwangu mimi hiyo "list" inakuwa ni batili kama jina la mkali EMINEM halipo katika hiyo "list". Naam kwangu mimi EMINEM ndio msanii bora kuwahi kutokea kwenye "game" ya HIP HOP (Mnisamehe sana mashabiki wa TUPAC na BIG, maana ni wazi kuwa nitakuwa nimewakera mno).
View attachment 1075251

Haya, niwarudishe kwenye lengo la "thread". Leo nikiwa natazama video mbalimbali za muziki nikakutana na video ya STAN kutoka kwa mkali wangu EMINEM akimshirikisha mwanamama DIDO kutoka Uingereza. Wimbo huu unamzungumzia mshikaji mmoja anayefahamika kama STAN (Stanley), huyo jamaa anamkubali vibaya mno msanii EMINEN, anamkubali EMINEM kiasi kwamba ilifikia hatua akawa anagombana na mke wake, jamaa alifikia hadi kubadilisha muonekano wake ili aweze kufanana na EMINEM.
Sehemu ya Video inaonesha STAN akimuandikia barua EMINEM kulalamika jinsi alivyokua akimpuuzia, STAN alikuwa anajitahidi kuhudhuria show za EMINEM ili EMINEM atambue jinsi anavyomkubali, juhudi za STAN ziligonga mwamba,kwasababu EMINEM hakuonesha kujali kabisa.
Baada ya kumaliza kuandika barua hiyo STAN anaamua kumchukua mke wake ambae alikua mjamzito na kumuingiza kwenye buti ya gari, kisha anaendesha gari mpaka darajani kisha analiingiza gari kwenye mto, hivyo kutokana kutoonesha kujali kwa EMINEM, STAN anaamua kujiua yeye pamoja na mke wake mjamzito, inashangaza eeenhe?
Kwangu mimi hii ndio video bora kuliko zote kutoka kwa mkali EMINEM.

Kutokana na huu wimbo neno "Stan" limeingizwa kwenye kamusi za lugha ya KIINGERZA likiwa na maana kama "USHABIKI ULIOPITILIZA KWA MTU MASHUHURI/MAARUFU"



Kwa wale mnaomkubali EMINEM kama mimi, taja wimbo unaokubamba kutoka kwa mkali huyu.
"I seen this one shit on the news a couple weeks ago that made me sick,
Some dude was drunk and drove his car over a bridge,
And had his girlfriend in the trunk, and she was pregnant with his kid,
And in the car they found a tape, but they didn't say who it was to,
Come to think about it, his name was... it was you
Damn!"

Hatariiiiiiiiiii
 
hate trump , nje wanademokrasia sana ingeimbwa bongo sijui imekuaje?
 
stan na mocking bird ndio ngoma bora kabisa za mheshimiwa Eminem
 
Baada ya Mariah Carey kumdiss na ile ngoma ya 'Obsessed' mchizi akaachia kitu kinaitwa 'Warning',
damn, nadhani hapo ndio Carrer ya Mariah ilipo Rest in Peace.
Another song, Killshot a diss to MGK anakwambia
"Stan, Stan, son, listen man, dad isn't mad
But how you gonna name yourself after a damn gun and have a man bun?" lol,
mpaka leo Mgk kimyaaaa.
Ahahaaaah...
culture gal
Kumbe na wewe unamkubali huyu fundi wa michano..?
 
Hii caption Ni baadhi ya mstari kutoka kwa STAN
Kapost Eminem leo
Screenshot_2019-04-23-22-16-18.jpeg
 
Na Lighters pia Bad Meets Evil
Em hajawahi acha beat salama
Hata ukiangalia akiwa featured....verse take kwne no favours ya Big Sean ilikua faya...almtukana Trump
Feature ya caterpillar ya Royce da 5'9
Anakwambia "you jerk offs, need to come to grips like a handjob"
 
Till I collapse
When am Gonne
Lose yourself
Monster
I love the way you lie
Mocking Bird
Stan
Space bound
Clean out My closet
Lucky you
Walk on the water
Kifupi pia Ni Mc mkali wa muda wote afu sio Nigga
 
Back
Top Bottom