EMINEM na STAN wake

EMINEM na STAN wake

Nadhan namna nzuri za kucategorise nyimbo za Eminem ni kufanya kwa Topic

mfano.
Songs about Hailie
Song about Detroit and his hood
Song about his Friends kama Proof mwana aliefariki 2006, the once greatest friend wa Eminem
songs about his mother,father na his uncle Ron
Dissing tracks kwa other artist
Dissing tracks kwa other famous people na politicians
Inspiration songs
Songs about himself and his ego
Songs anazojaribu kuomba msamaha kijanja kwa jamii baada ya kuzingua mfano "Yellow brick road"
 
Ass like that
We made you
Mocking bird
Cleaning out my closet
Monster
My name is
No love
I need a doctor
The real slim shady
Not afraid

Nilivyokuwa mdogo ukiniuliza mchumba angu nani nakutajia Eminem na Puff Dady
Wew chagua mmoja mfano Mimi alikua mchumbangu Rihana
 
Asante sana chief,alafu nilikua sijui kama ugomvi wa Stan na mke wake ilikua pia ni sehemu ya Stan kumuiga Eminem..!
Hakika Stan alikua mwehu..!
Ila mkongwe,mashabiki aina ya Stan wapo kweli..?
Naam wapo wengi mnoo..hao ndio mashabiki maandazi
 
Asante sana chief,alafu nilikua sijui kama ugomvi wa Stan na mke wake ilikua pia ni sehemu ya Stan kumuiga Eminem..!
Hakika Stan alikua mwehu..!
Ila mkongwe,mashabiki aina ya Stan wapo kweli..?
Kacheki muvi ya fan utajua watu wanpenda si mchezo.
 
I had a dream i was king

I woke up, still king

This rap game nipple is mine for the milking

Til nobody else even f@ckin feels me, til it kills me

I swear to God I'll be the f@ckin illest in this music


Eminem is arguably the best rapper alive. Rap game's Lionel Messi.
 
I had a dream i was king

I woke up, still king

This rap game nipple is mine for the milking

Til nobody else even f@ckin feels me, til it kills me

I swear to God I'll be the f@ckin illest in this music


Eminem is arguably the best rapper alive. Rap game's Lionel Messi.
You shit on me when you on your way up,
But what's goes up must come down,
Lighters
 
Napenda sana "Mocking bird", a very good song about family separation ,hardship na impact kwa watoto kama Haillie, Napenda "When am gone", pale ambapo matakwa ya wazazi yanakuwa against wishes za mtoto, "I need a Doctor: with Dr Dre naipiga sana pale napokumbuka watu walio nisaidia kutoka katka hatua mbalimbali za maisha.

Napenda wimbo wa "Beautiful", Em raps about yeye kutokuwa kwenye game muda mrefu na struggle anazopitia watu hawamuelewi anarap pia about his city Detroit the once largest manufacturing city in the 1950s had sasa mji umekuwa kama magofu

Nikiwa na mwanangu namuimbia "Hailie Song", the only song Eminem tried to sing na sio kurap, Back in the days shuleni nilikuwaga nawakusanya wana kisha naanza kuwashushia mistari ya "Cleaning my Closet"

Aisee ntajaza uzi peke yangu, napenda kila wimbo wa huyu kichaa, na shinda sana https://genius.com/artists/Eminem , na mara nyingi huko kinachonipelekaga ni kutafuta deep meaning ya nyimbo za Eminem,na sometimes Kanye na Jay z, na sometimes nachangia pia vile nimeelewa, Uzuri eminem yupo verified kule so sometimes watu wanaweza enda chaka kutafsir wimbo wake yeye akaurekebisha kile alicho maanisha.

I think ushabiki wangu kwa huyu jamaa ni only second after Stan, pumb**fu i even follow Hailie on Instagram https://www.instagram.com/hailiejade/?utm_source=ig_embed , yule binti ambae nadhani anashikilia record ya kuwa mtoto alieimbwa katika nyimbo nyingi zaidi duniani.

Sema na humu nako nimekutana na ma Stan wengi sana aiseee.
Tisha Chief...
Hakika unamfuatilia vyema sana huyu mfalme wa michano..!
 
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu wanamuziki watatu (3) bora tangu muziki wa HIPHOP upate kuanzishwa, kwangu mimi hiyo "list" inakuwa ni batili kama jina la mkali EMINEM halipo katika hiyo "list". Naam kwangu mimi EMINEM ndio msanii bora kuwahi kutokea kwenye "game" ya HIP HOP (Mnisamehe sana mashabiki wa TUPAC na BIG, maana ni wazi kuwa nitakuwa nimewakera mno).
View attachment 1075251

Haya, niwarudishe kwenye lengo la "thread". Leo nikiwa natazama video mbalimbali za muziki nikakutana na video ya STAN kutoka kwa mkali wangu EMINEM akimshirikisha mwanamama DIDO kutoka Uingereza. Wimbo huu unamzungumzia mshikaji mmoja anayefahamika kama STAN (Stanley), huyo jamaa anamkubali vibaya mno msanii EMINEN, anamkubali EMINEM kiasi kwamba ilifikia hatua akawa anagombana na mke wake, jamaa alifikia hadi kubadilisha muonekano wake ili aweze kufanana na EMINEM.
Sehemu ya Video inaonesha STAN akimuandikia barua EMINEM kulalamika jinsi alivyokua akimpuuzia, STAN alikuwa anajitahidi kuhudhuria show za EMINEM ili EMINEM atambue jinsi anavyomkubali, juhudi za STAN ziligonga mwamba,kwasababu EMINEM hakuonesha kujali kabisa.
Baada ya kumaliza kuandika barua hiyo STAN anaamua kumchukua mke wake ambae alikua mjamzito na kumuingiza kwenye buti ya gari, kisha anaendesha gari mpaka darajani kisha analiingiza gari kwenye mto, hivyo kutokana kutoonesha kujali kwa EMINEM, STAN anaamua kujiua yeye pamoja na mke wake mjamzito, inashangaza eeenhe?
Kwangu mimi hii ndio video bora kuliko zote kutoka kwa mkali EMINEM.

Kutokana na huu wimbo neno "Stan" limeingizwa kwenye kamusi za lugha ya KIINGERZA likiwa na maana kama "USHABIKI ULIOPITILIZA KWA MTU MASHUHURI/MAARUFU"



Kwa wale mnaomkubali EMINEM kama mimi, taja wimbo unaokubamba kutoka kwa mkali huyu.
Si mkali kwangu ila naikubali morkingbird, slim shed sijui kama nimepatia majina, ila hiyo morkingbird ninayo ngoma hatarii hiyo
 
PRINCE MANDELA
WE SPEAK MUSIC
TELEGRAM CHANNEL
Screenshot_20190506-150356.jpeg
 
Best Eminem songs

1. Cleaning out my closet
2. Without me
3. Mocking bird
4. Stan
 
Pamoja na uwezo wake wote alipotoa ngoma kumdisrespect King of Pop nilimvua Nyota zote
 
Zangu hizi hapa

The real slim shady
Phenomenal
No love
Killshot
Lucky you
Rap god
Venom
You dont know ft 50 cent, casis, lloyd banks
 
Back
Top Bottom