Eminem is overrated, yes I said it

Eminem is overrated, yes I said it

Nimejitahidi kusikiliza ngoma zake lakin wapi nasikia makelele tuu yasio na muunganiko. Naumia sana kuona EM kamzidi kimauzo my fav rapper Jay Z yaan sijui nifanyaje ili nisahau hili jambo. Kinachoniuma zaidi ni pale nikisikiliza mojawapo ya verse bora kabisa za jay inayosema" men lies women lies, but number don't lie" daaah baaasi tu hamna namna inabidi tu nimsilibe na gia ya Wazungu wenzake wanambeba.
 
Yaani wewe ulistahili kufungwa kwenye mti, na kupigwa mijeredi mingi sana ya matako!
 
I think you should stop overrating your opinion.

Nenda kasikilize hivi vyuma hapa alafu uje kusema kila ngoma inahusu nini na kuna content au maudhui gani ndani yake.
Lose Yourself
Not Afraid
Mocking Bird
Stan
Love the way you lie

Kasikilize hizo masterpieces hapo alafu sema kila moja inahusu nini, sikiliza mstari kwa mstari alafu uje kufuta hii thread.
Unless utakuwa husikilizi kinachoimbwa hivyo unasikia kelele tu na ndio sababu kuu ya kuandika hii disparagement and disrespectful thread to the king of hiphop.
 
Naona mastans Ni wengi Sana... brainwashed Na white supremacy
 
Kiingereza kibovu sana. Kwa nini usingetumia tu kizaramo au kiswahili unakuja kuandika matapishi hapa mbele yetu?

Ulishindwa kumuelewq jamaa alikuwa aandiki kingereza kile cha essay za mwalimu wa kingereza cha kufuata grammar na bla bla

Jamaa alikuwa anaongea kwa kuandika sijui unanielewa, yaani jamaa sio muandishi mzuri wa Kingerezea ila yupo fluent in English
 
Nenda kasikilize hivi vyuma hapa alafu uje kusema kila ngoma inahusu nini na kuna content au maudhui gani ndani yake.
Lose Yourself
Not Afraid
Mocking Bird
Stan
*Love the way you lie

I'm Superman, with the wind at his back, she's Lois Lane...

Nkiskiaga huu mstari
 
Eminem ni mkali. Nasikilizaga ile remake ya What is love yuko na Wayne, huwa naona maajabu mtu anawezaje kuflow namna ile!! Jamaa anajua, kama siyo GOAT wa hip hop.
 
Lakini pamoja na hayo, rangi inambeba sana Eminem kwenye mauzo na kukubalika. Ipo hivyo siku zote. Black anafanya kitu kilekile anachofanya mweuoe lakini credit kubwa na pesa nyingi anapata mzungu. Kwenye Rock n Roll ilikuwa hivyo. Mziki walianzisha weusi. Lakini anapewa ufalme wa Rock na aliyepata pesa za kutosha ni Elvis Presley aliyekuwa anafanya cover ya nyimbo za mablack.
 
Hawa vijana waliozaliwa 2000s mna matatizo sana

Marshall Mathers aka Eminem aka Slim Shady
Kabla hujaja na porojo zako
Tafuta Album zake zote
Albums made Before he started Drugs,
Albums made During his addiction to Drugs
Albums made After his addiction problem

Eminem has more than 7 flows,
He is so damn lyrical (rhymes kuliko BIG)
He never uses ghosts
He can compose his own beats

He doesn't need your approval as long as he's the favorite rapper of your favorite rapper.
Hapo kwenye kumzidi BIG ndio umeharibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom