Hplp2275H
JF-Expert Member
- Jan 21, 2021
- 556
- 1,666
😂😂Mimi nimekuwa namsikiliza Shaddy tokea 90's na nilivyoona huu uzi nikasema Hiiiiiiiiiiiiiii (In Magu's Voice).
Haahahaha, huu mimi huwa naita utovu wa nidhamu kabisa, Shady ametoka kimuziki kipindi ambacho HipHop was predominantly Black na ushindani uko juu vibaya sana.
Ukigeuka huku kuna The Wu-tang Clan, huku kuna Ll Cool J, huku kuna NAS na Jay -Z, huku the Roots (Kina Black Thought), Talib Kweli, Mos Def, yaani gemu gumu lakini Shady akatoboa. Sasa naona bwana mdogo kaamua kabisa kumvunjia The Rap god heshima.
Hana ABCs zozote kuhusu shady namziki wa hip hop wa kipindi hicho..unaeza kuta mwanzisha uzi Ni Wa kipindi Cha kina young lunya...

