Eminem is overrated, yes I said it

Eminem is overrated, yes I said it

wote mlioreply hamna facts zozote..
skilizen malegend kina Andre 3K.

eminem anazidiwa hata na JID

im talkn pure lyrics...nahisi kwa marapa wanaoongoza kuflop kwa albam zao ni eminem
Andre 3000 jamaa mkali sana huyo
 
Marshall Mathers aka slim shady aka eminem aka the most overrated rapper alive
I mean lets call a duck what it is
Huyu jamaa watu wanasema anamzidi Lil wayne n a kendrick lamar

Mimi nasema otherwise
Nimejaribu kusikiliza projects zake kibao lakini wapi
Nakuomba wewe kama stan ujaribu kunielewesha uGOATness wa huyu jamaa kuwazidi hao nliowataja
Im open minded
 
Dr Dre alinyoosha mikono ..sembuse we umbwa mmoja..
Overatted ..Taja hao top rated Basi...
Humjui Marshal vizuri wewe ...Project ipi unesikiliza ukaja na huu utopolo wako..
Misingi ya hip hop -Rap unaijua...

Tusiende kiprofesheno twende kitopolo Kama utopolo ulioandika hapa..
 
Dr Dre alinyoosha mikono ..sembuse we umbwa mmoja..
Overatted ..Taja hao top rated Basi...
Humjui Marshal vizuri wewe ...Project ipi unesikiliza ukaja na huu utopolo wako..
Misingi ya hip hop -Rap unaijua...

Tusiende kiprofesheno twende kitopolo Kama utopolo ulioandika hapa..
Mimi nimekuwa namsikiliza Shaddy tokea 90's na nilivyoona huu uzi nikasema Hiiiiiiiiiiiiiii (In Magu's Voice).
Haahahaha, huu mimi huwa naita utovu wa nidhamu kabisa, Shady ametoka kimuziki kipindi ambacho HipHop was predominantly Black na ushindani uko juu vibaya sana.

Ukigeuka huku kuna The Wu-tang Clan, huku kuna Ll Cool J, huku kuna NAS na Jay -Z, huku the Roots (Kina Black Thought), Talib Kweli, Mos Def, yaani gemu gumu lakini Shady akatoboa. Sasa naona bwana mdogo kaamua kabisa kumvunjia The Rap god heshima.
 
Ni msanii bora wa decade 2000s ...
Kashinda tuzo zaidi ya Mia 52 ukijumuisha na Oscar moja ya tuzo kubwa na ya heshima duniani lakini hakwenda kuchukua ...alikuwa busy watching cartoon with his daughter Hailey..
Kuanzia 200-2010 the best selling artist akiwapiku the Beatles,Ameuza nakala nyingi kuliko pop artist yeyote...(najua unajua kuwa pop Ni mziki pendwa zaidi duniani.
Katika best selling solo artist anashika namba sita.. list includes Elvis Presley, Michael Jackson, Elton John etc.

Ni one among top 3 lyricist of all the time... Unasikiliza mashairi unapata maana zaidi ya moja..
Una kumbukumbu vizuri kuanzia 1999-2004 alikuwa anashika chati kwa kuzungumziwa zaidi.. kwenye majarida makubwa ..na media kubwa na ndogo...
New York times pekee walimmention mara 200.

Aseh itabidi nimwandie uzi huyu jamaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom