Emergency plant to ease power rationing

Hizo plan wanazosema. Hazisound kama qquick solution, nii yale yale tu ya mitambo si kama kununua koti!!

My foot, jk and his cabinet!!

Hii ni 100MW syndrome, tuna upungufu wa 300MW , tunaleta majenereta ya 100MW, this is a joke, je 5 yrs to come tutahihati 100MW turbine gensets ngapi,
 
Norway hamna benki inayojulikana kwa jina hilo.

Mkuu hii Bank jina lake ni Hong Kong and Shanghai Banking Corporation na ina matawi katika nchi nyingi duniani. Nimeweza kuona quartely financial reports zao (HSBC Norway) mtandaoni lakini sikufanikiwa kuipata web site yao.
 
A short term solution is to install a power generators which can use both natural gas and MDO since there is a shortage of natural gas they might switch to (Diesel) MDO.And when the production of gas improves, and then they might change over to Natural gas.
The second fast alterative short term solution is to hire a Power generating Barge which can be towed to the port Of Dar from overseas that might take from 14 days to 30 days to arrive in Dar port, The barge will connect its terminal to our grid, no installation of plant is required, since it will be berthed in port.

Kama kuna uwezekano huo basi hii ndio ingefaa iitwe emergency plan siyo hii ya siemens ya kungojea mpaka mwaka 2012.

Mbele huko tufikirie aidha stiegler's gorge....ambao mradi, nashindwa kuelewa ulifanyiwa tathmini miaka kenda ilopita lakini sijasikia hata siku moja wakiongelea.

Kama wasemavyo watu wengi janga la umeme halitakwisha kwa sababu ndio mahali palipo patamu kutafunia ma bilioni
 
Mkuu hii Bank jina lake ni Hong Kong and Shanghai Banking Corporation na ina matawi katika nchi nyingi duniani. Nimeweza kuona quartely financial reports zao (HSBC Norway) mtandaoni lakini sikufanikiwa kuipata web site yao.

Hebu tuwekee ushahidi wowote tafadhali. Nina uhakika hiyo benki Norway haipo kabisa.
 
Inawezekana ni HSBC Bank inayogharimia 85% ya mradi, lakini ni wazi mwandishi kakosea alipoandika "of Norway". Maana hiyo benki haipo kabisa Norway.
 
Inawezekana ni HSBC Bank inayogharimia 85% ya mradi, lakini ni wazi mwandishi kakosea alipoandika "of Norway". Maana hiyo benki haipo kabisa Norway.

HSBC NORWAY REPORT @ 18.01.07
TAXATION
Resident/Non-resident​
A company is generally considered resident in Norway if it is incorporated under Norwegian law, or if its effective management is located in Norway.
 
Tax year
The tax year corresponds to the calendar year. However, companies may apply for assessment based on their financial year. Tax returns must be filed by the end of March of the year after the financial year-end. If the tax returns are delivered electronically they must be returned by the end of May.
Companies are required to make two equal advance payments of tax based on the last previous tax assessment, increased

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Sijui huo mkopo riba ni kiasi gani. Tunawaachia wachukuaji wachukue bure rasilimali zetu kwa kulipwa mrahaba kidogo sana na na kutowatoza kodi halafu Serikali inaenda kuwatwisha walipa kodi mzigo mzito sana kwa kukopa kutyoka commercial banks na kutozwa riba kubwa na hivyo kuongeza deni la nje kwa kasi ya kutisha.
 
Kila kukicha sisi ni watu wa emergence tuu!
Izi ni akili za kudownload unachanganya na shakewell before use

Yes ni fire fighting approach all the time!!!! Bila hivyo hawapati nafasi ya kuweka cha juu!!! Pia hatuna muda wa kukaa na kupanga mipango mizuri ya maendeleo, tuko busy na ufisadi na Uvasco Damaism.

Tib
 
Short term au long term solution? Kweli Tanzania kuna mambumbu. One more question kwa wanachama wa ccm, huu ni mkopo kwa watoto wetu au ni grant - msaada wa bure? Alikuja na hii solution aje kwenye media tumwone basi ili tujue gut yake au kama kawaida ni wasira ofisi ya raisi. Wananchi hawana haki ya ku-discuss wala kuona plan yeyote ile only one way street Tanzania ni kikwete na wanachama wenu wa ccm ndio mnajua kila solution ya nchi. Keep it up ccm, don't worry mna muda mchache kwa hiyo endeleeni kukusanya evidences zenu.
 
HSBC NORWAY REPORT @ 18.01.07
TAXATION
Resident/Non-resident​
A company is generally considered resident in Norway if it is incorporated under Norwegian law, or if its effective management is located in Norway.
 
Tax year
The tax year corresponds to the calendar year. However, companies may apply for assessment based on their financial year. Tax returns must be filed by the end of March of the year after the financial year-end. If the tax returns are delivered electronically they must be returned by the end of May.
Companies are required to make two equal advance payments of tax based on the last previous tax assessment, increased

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Sijui huo mkopo riba ni kiasi gani. Tunawaachia wachukuaji wachukue bure rasilimali zetu kwa kulipwa mrahaba kidogo sana na na kutowatoza kodi halafu Serikali inaenda kuwatwisha walipa kodi mzigo mzito sana kwa kukopa kutyoka commercial banks na kutozwa riba kubwa na hivyo kuongeza deni la nje kwa kasi ya kutisha.

http://www.hsbcnet.com/transaction/attachments/pcm/pdf/norway.pdf

Obviously, hiyo ni general Country Report ambayo benki nyingi kubwa za kimataifa huwa wanachapisha mara kwa mara na siyo Quarterly Report ambayo ingeonyesha kuwa wana financial operations nchi fulani. Hata pale mwisho kabisa utaona contact details za HSBC ni anwani na simu ya tawi lao la Stockholm, Sweden.
 
Inawezekana kabisa kwamba Kingunge/muwakilishi wa hii HSBC Norway anapatikana katika ofisi zilizopo Stockholm pamoja na kuwa wana tawi lao Norway. Sidhani kama country report itaweka jina la bank (HSBC NORWAY REPORT @ 18.01.07) ambayo haipo nchini mwao.

Pia hizi kampuni kubwa za nje zinapopata mikataba mikubwa na zenyewe zinahitaji mkopo au huyo mteja wao basi wanajaribu kuchukua mkopo au kumshawishi mteja achukue mkopo (mteja hana lazima ya kukubali ushawishi huo) katika financial institutions za ndani ya nchi ile kwa kutumia goodwill ya kampuni iliyopewa mkataba na hivyo kusaidia kupata mkopo wenye riba nafuu, lakini kwa nchi yetu jinsi inavyoendeshwa kifisadifisadi unaweza kukuta pia watu wameshachukua chao mapema katika mkataba huu.

Siku za usoni labda mradi huu utatangazwa rasmi na Serikali na hivyo kujua ni bank ipi itakayogharamia hiyo 85% ya gharama za mradi.
 
Inawezekana kabisa kwamba Kingunge/muwakilishi wa hii HSBC Norway anapatikana katika ofisi zilizopo Stockholm pamoja na kuwa wana tawi lao Norway. Sidhani kama country report itaweka jina la bank (HSBC NORWAY REPORT @ 18.01.07) ambayo haipo nchini mwao.

Most unlikely mkuu. Needles to say, hiyo siyo Quarterly Report bali ni Country Report kulingana na yaliyomo kwenye hiyo ripoti. Vinginevyo hapa chini ni orodha ya vyombo vyote vya kifedha vyenye ruhusa kisheria ya kufanya shughuli za kibenki Norway.

List of banks in Norway - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hivi wakuu mnaamini kabisa hiyo serikali iliyo madarakani inaweza kutatua tatizo la umeme? This has been their test since 2006 and they have failed miserably be it a short or long term in that matter. Tuendelee kuhesabu maumivu mpaka hapo the real mavericks will start running the affairs of that country!!!!! Someone asks me wht if that doesn't happen??? Jibu ni rahisi tu, Nothing of significance in terms of human development will happen in Tz period. It may not be an appealing conclusion lakini ndio ukweli wenyewe unaouma.
 
Most unlikely mkuu. Needles to say, hiyo siyo Quarterly Report bali ni Country Report kulingana na yaliyomo kwenye hiyo ripoti. Vinginevyo hapa chini ni orodha ya vyombo vyote vya kifedha vyenye ruhusa kisheria ya kufanya shughuli za kibenki Norway.

List of banks in Norway - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu iweje country report ibandike jina la bank ambayo haipo nchini mwao? Ngoja tusubiri labda mtoa ripoti kuhusu mradi huu au mwandishi wa habari hii kachanganya madawa.
 
[h=1]Emergency plant to ease power rationing[/h]

By JOHN MBALAMWEZI

Posted Sunday, July 24 2011 at 12:07
THEA EAST AFRICAN

Tanzania has turned to Swedish firm Siemens Energy for industrial gas turbines in a quick fix attempt to alleviate the power rationing crippling the country.

Siemens Energy is to supply three industrial gas turbines driven by natural gas, which is abundant in the country, with a combined capacity of 100 Megawatts, for the Ubungo power plant.

According to Tanzania Electricity Supply Company (Tanesco), the three turbines will be powered by natural gas through a pipeline from the Songo Songo gas field off the coast of Tanzania.

Tanesco communications manager Badra Masoud, told The EastAfrican in Dar es Salaam that the power plant will be constructed by Norway-based Jacobsen Electro AS and will cost about $124.8 million upon completion in June 2012.
The Tanzanian government has financed 15 per cent of the project with the balance of 85 per cent being provided by HSBC Bank of Norway under a loan agreement.

Ms Masoud said that connection to the grid is planned for late 2011, which it is hoped will bridge the 376 MW shortfall.
“Once completed, the project will fill the gap in generating electricity and improve the availability and reliability of power supply in Tanzania,” she added.

A drastic drop in the water level of the Mtera hydroelectric dam in Iringa Region forced Tanesco to announce an alternating power rationing programme ushering in 12 hours of power cuts daytime and six hours at night in most regions at the end of June.

This highlights Tanzania’s over-reliance on hydro power.

Tanzania’s interconnected system has an installed capacity of 773 Megawatts, of which 71 per cent is hydropower.

Markus Tacke, chief executive of Siemens Energy, told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that the turbines to be installed — the SGT-800 — are among the most efficient industrial gas turbines in the market. “With our gas turbines, we can support the development of a reliable power supply in Tanzania,” he said.

In another development, a conglomerate led by British Energy Company, Globeleq, plans to invest a total of $120 million to double gas output in Tanzania for power generation.

According to Christopher Ford, the Songas managing director, the $120 million project will deliver approximately 140 million cubic feet a day of gas to Dar es Salaam that will almost fully utilise the gas reserves at Songo Songo island and allow Tanesco to boost its power generation.
This is stupidity and i will say it again it's stupidity and nonsense talking about easing power rationing in June 2012 this government has a bunch of ****** and incompetent people who are just doing useless jobs.
 
Back
Top Bottom