K Keagan Member Joined Aug 6, 2012 Posts 40 Reaction score 11 Aug 24, 2012 #1 Wakuu,kama inavosomeka hapo juu. Usiku ndo umesonga na nna emergency ya haraka kupga simu,nisaidien tafadhali..nobody around here knows.
Wakuu,kama inavosomeka hapo juu. Usiku ndo umesonga na nna emergency ya haraka kupga simu,nisaidien tafadhali..nobody around here knows.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Aug 25, 2012 #2 pole mkuu, vp umefanikiwa? km bdo fanya hv kwa voda. piga *149*01# then fuata maelekezo. kwa airtel tuma neno daka kwenda namba 15349.
pole mkuu, vp umefanikiwa? km bdo fanya hv kwa voda. piga *149*01# then fuata maelekezo. kwa airtel tuma neno daka kwenda namba 15349.