Hao ni macelebrities uchwara kutoka Nyarugusu ndani ndani huko.ndio nani hawa sisi wengine tupo nansio huku visiwani hatuwajui hao
Hao ni macelebrities uchwara kutoka Nyarugusu ndani ndani huko.ndio nani hawa sisi wengine tupo nansio huku visiwani hatuwajui hao
Uchawa wa bongo wakijinga sana utakuta mchezaji anamshukuru mheshimiwa Rais kwa kupata tuzo.Mimi uongozi wangu nitakua nawachana live machawa wote mpaka wakinikimbie ,mambo ya kijinga kama hayo yalipelekea watu kumfananisha Yesu na Magu.Mmmh umenchekesha mno asee