Embu zitafakari izi picha kisha toa lililo moyoni!

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Tafaķari kisha toa yàliyomoyoni tafakari kisha changanua.

20220808_205710.jpg
20220808_205812.jpg
 
Nimefikiria kwamba kila kila mtu ana uhuru wa kufanya chochote bila kuvunja Sheria ,mimi binafsi sioni shida yeyote Hapo mtu kaamua tu kuja na picha uwanjani.
Sawa sawa mpwa
 
Watanzania wengi wajinga Kuna shida gani hapo? Kama wanampenda rais wao Kuna tatizo gani sio kila mtu ni chadema raisi aliyopo madarakani ndo hyo kwani ni kampeni ..Mtoa mda akili yako kupenda siasa tu.
Daah mwanangu wapi pameongelewa uchadema ama uccm mzee wangu umeambiwa tafakari sasa hii vita ni ya nini dhidi yangu toa tafakari yako kisha kausha mzee wangu
 
Mleta mada inaonekana kuna jambo umelilenga kuliwasilisha hapa kuhusu hizo picha,

Funguka ili ueleweke au subiri mashambulizi mengine.
 
Mimi nikiwa Rais au na cheo chochote natangaza mapema kuwa chawa wote wanaopenda mambo ya kusifu na kuabudu nitawapa za kichwa kwani hakuna upuuzi ambao siipendi kama wa kusifia hovyo .
 
Mmmh umenchekesha mno asee
 
Mimi nikiwa Rais au na cheo chochote natangaza mapema kuwa chawa wote wanaopenda mambo ya kusifu na kuabudu nitawapa za kichwa kwani hakuna upuuzi ambao siipendi kama wa kusifia hovyo .
Flattering hiyo
 
Back
Top Bottom