Embu tutafakari kidogo

Mkuu naelewa unacho maananisha lakini napata tabu kuelewa unatakaiweje kwenye muktadha wako……. Kwamba tuwe hatukumbuki ya nyuma bali tunaona ya mbeleni(future) tu…………. Hebu tafakari ni future gani utaiona bila past?. Vitu huwa havitokei tu within a second, ni Mchakato, leo ukiwaza kutengeneza gari kesho unaamka umesahau kila kitu sasa utaionaje hiyo future ya kutengenezwa kwa gari?. Na hata “ukiona” future kwa muktadha wako ikija kutokea bado itakua past sababu uliiona kabla lakini ubongo wako utakuja kurea litakapo tokea mbeleni. Nafikiri maisha yako PERFECTLY the way yalivyo
 
Hakika, umenena vyema...


Cc: Mahondaw
 
Ukisoma andiko vizuri utaona hoja ambayo Mimi nimejikita nayo sana ni kwanamna maisha yetu yalivyokuwa ya reference, yaani Kila kitu kinategemea past, inamaana ukiiondoka past hamna maisha au nini?

Kwanini kila kitu kiwe kwa mtindo huo wa reference?

Kwanini past iwe ndio maisha yetu while future inabaki kuwa surprise?

Na kwanini hoja zozote za future zinapanguliwa hadi watoaji wanajikuta wanarudi kwenye eneo pendwa la kufanya akili ipumue?
 
Mkuu hizo fikra zako HAZIWEZEKANIKI kwasababu hata ukiiona future ya kesho ikifika hiyo kesho si bado utakua uliiona hiyo future jana yake ambayo ni past?. Hebu nifafanulie unatakaje kuishi kwenye future bila past?…………..Hakuna Future bila past na ndio maana nikakwambia uwepo wa ulimwengu ni matokeo ya utumwa wa Space Time na Matter, na hoja yako inaangukia kwenye time ambayo inajumuisha wakati uliopita, uliopo na ujao, …….. ukiondoa wakati mmoja wapo maana yake hakuna existence ya Time wala Ulimwengu
 
Hatari sana kila kitu ni marudio tu na kuna hile ya kwenda sehem uijui lakin unapata isia kma ulishawahi kufika iv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…