Uzao wa Mkurya aliyezaa na Mkimbizi Afrika kusini Mazimbu Morogoro akiwa kikosi cha Umkomto we sizwe Afrika ya kusini akichapa kazi

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,223
4,646
Wakimbizi wa Afrika Kusini waliokuwa wakiishi pale Mazimbu Morogoro kuna wengine walibahatika kuzaa na watanzania baadaye walipopata uhuru walirudi kwao

Sura hiyo wengine mtakuwa mnaikumbuka pale Morogoro huyo kwenye picha mwenye mdomo mkubwa akiimbisha mwishoni. Hongereeni wakurya kwa kupeleka damu yenu Afrika Kusini


View: https://www.youtube.com/watch?v=nBSV1YkLVn4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom