Embu tusidanganyane Mzize, Feisal Ulaya wataisikia tu

Embu tusidanganyane Mzize, Feisal Ulaya wataisikia tu

Wala sijakubaliana na wewe. Rudi mwanzoni kasema upya.

Kwa umri wa sasa hawawezi chukuliwa na timu yoyote ulaya.

Ishu ya mzize ni years ago sio sasa. Umri ushaenda yule
Sasa unakataa nini wakati kauli yako hii hii iliyofuata inakubaliana na nilichosema? Halafu unaniambia nikasome mwanzoni, wewe umesoma mwishoni?
 
Tatizo lenu hamtaki upinzani , ndo shida yenu.

Sema ndo hivyo mmekuta club nyingi Tanzania hapa hazina pesa.
Na kabla nyingi Zina shida kwenye uongozi hasa yanga na Azam fc, japo nazo zinaonekana ndo washindani wakubwa Japo na Simba nayo kiasi chake, kazi ushirikina tuu.
 
Simba na yanga zinakaribia miaka 100 sasa , team hazina viwanja , hazina academy, Top players wao ni wa nje kazi kushawishi wachezaji wabadili uraia.
Shame on them na mashabiki wao kazi kutoka team zao zisifungwe

Tatizo lenu hamtaki upinzani , ndo shida yenu.

Sema ndo hivyo mmekuta club nyingi Tanzania hapa hazina pesa.
Na kabla nyingi Zina shida kwenye uongozi hasa yanga na Azam fc, japo nazo zinaonekana ndo washindani wakubwa Japo na Simba nayo kiasi chake, kazi ushirikina tuu.
Umeshatoka kwenye mada sasa unatupeleka kwingine
 
Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi.

Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak yao, umri tayari umesogea, ligi yetu haipo kwenye rada za mascout wa Ulaya na hatuna historia ya kutoa wachezaji kutoka ligi kuu kwenda Ulaya. Hizi zote ni sababu zinazotakiwa kukwambia kuwa hawa watamalizia mpira wao hapo hapo Mwenge.

Miaka ile ungesema labda wataenda kustaafia Uarabuni ila na wenyewe siku hizi hawachukui tu wachezaji ilimradi.
Wewe kama sio mama wa kambo unabii wangu ni fake
 
Nikikumbuka alitudanganya simba hatutafuzu
Wakati mwingine huwa naamini maneno ya Rage kuwa mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu. Sasa huyu mchambuzi anakudanganyaje hamtafuzu kwa maandishi yake tu kwenye social media?

Yan ulifikiaje kudanganyika kuwa hamtafuzu huyo mtu hayupo kwenye timu yako, sio afisa wala mtendaji achilia mbali hayuko kwenye benchi. Anasema hamtofuzu wewe unasema amewadanganya? 🤣🤣🤣
 
1000276342.jpg
 
Hamna cha madili wala nini. Ngozi nyeusi mnapenda kudanganyana. Mkiambiwa ukweli mnasema mtu ana chuki
Kweli kabisa, black skin hatutaki kuambiwa ukweli, hata sisi uto wa maskani Buza Mpalanger tunapowaambia makolo tayari wametema bungo shirikisho kwa kupangwa fainali na Berkane mlima mrefu wanashupaza mishipa ya shingo , hawakubali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom