Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Azizi k hajawahi kuomba na mamelodi hayo ni maneno ya wachambuzi wa mchongo wa TZ kwa umri wa azizi k wa sasa sio rahisi kuchukuliwa na club kubwa , ni ngumu miaka 29 ni mkubwa sana.Em kwenda huko, hata aziz ki mwenyewe ilikua ya uongo kutakiwa mamelodi, yanga kwa fix hawajambo.
Tutolee uwaki wako hapaa.
Acheni wivu sometimes