DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi.
Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak yao, umri tayari umesogea, ligi yetu haipo kwenye rada za mascout wa Ulaya na hatuna historia ya kutoa wachezaji kutoka ligi kuu kwenda Ulaya. Hizi zote ni sababu zinazotakiwa kukwambia kuwa hawa watamalizia mpira wao hapo hapo Mwenge.
Miaka ile ungesema labda wataenda kustaafia Uarabuni ila na wenyewe siku hizi hawachukui tu wachezaji ilimradi.