Embu skia hili totooo!!!!!!

Shixi889

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
338
208
TOTO; Mama unajua hausgel we2 ni malaika??
MAMA;Kwa nini?unasema hivyo??
TOTO;Jana nilimwona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na yesu anasema...ooooh Yesu wangu nakuja...Oooh Yesu wangu nakuja jamani!!!
yani isingekua baba kumshikilia kwa nyuma nae akiwa uchi, saa hizii angekuwa mbinguniii!!!!!!
MAMA;WHAAAT!!!!!
 
hahaaaaaaaa, mtoto kamuoteshea nyasi hausegirl kwenye kibarua chake, baba hapo kaz anayo duh......
 
TOTO; Mama unajua hausgel we2 ni malaika??
MAMA;Kwa nini?unasema hivyo??
TOTO;Jana nilimwona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na yesu anasema...ooooh Yesu wangu nakuja...Oooh Yesu wangu nakuja jamani!!!
yani isingekua baba kumshikilia kwa nyuma nae akiwa uchi, saa hizii angekuwa mbinguniii!!!!!!
MAMA;WHAAAT!!!!!
Nimeipenda mweeee, hebu nitafutie housegirl mchamungu kama huyo aisee..
 
Hii imefanana na ile ya mtoto aliyeulizwa unamuombaje mungu mtoto akajibu nainuwa miguu juu. kwa msham
ngao akaulizwa kivipi akasema kila siku mama anainuwa miguu juu na kusema oh ma god oh ma god am coming
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom