View attachment 3588919Oooh Mapenzi hayana umri haya ona sasa.
Mtu na akili zake kaamua kuwa Last Born katika familia ambayo yeye mwenyewe ni Baba.
Ukumbuke familia hii hajaianzisha yeye bali kajiunganishia juu kwa ju.
Sasa analea Watoto ambao kiumri ni kaka zake.
😁😁Ushamjua ?