Embe zinaongeza nyongo??

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
120
Sehemu kubwa ya nchi kwa sasa ni msimu wa maembe
Kuna watu husema kwamba ongezeko la ulaji kupita kiasi huchangia ongezeko la nyongo mwilini

Je kuna ukweli wowote??
Karibuni kwa michango yenu
​
 
Back
Top Bottom