peace2007
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 299
- 217
Habari, nina shida imenitokea siku ya tatu sasa, kila niki 'log in' email yangu (yahoo)inaniambia 'wrong password' ingawa 'password' yenyewe ndio nimekuwa nikiitumia wakati wote. Ilianza tatizo kama wiki mbili zilizopita ninapokuwa niki 'log in' inaniambia wrong password ingawa baada ya sekunde chache inafunguka ila kuanzia siku tatu zilizopita mpaka sasa imekataa kufunguka kabisa. Tatizo ni nini na nini ninachoweza kufanya ili ifunguke?