Laptop yangu inasumbua Password yake

Laptop yangu inasumbua Password yake

Quartz360

Senior Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
133
Reaction score
318
Habari zenu Wana jukwaa.

Msaada tafadhali.

Laptop yangu (LENOVO YOGA 11e THINKPAD). Inakataa ku-log in, japo password ni sahihi kabisa na Caps nazingatia. Nikiweka password inasema Welcome inaanza ku-load kwa sekunde kadhaa inasema tena Incorrect password, Try again. Shida ni nini wakuu[emoji120]
 
Password haiwezi kugoma kama ipo sahihi jaribu kukumbuka vizuri.

Ni sawasawa utafute jembe sehemu uliyohifadhi shoka, huwezi kulipat. Hicho unachoandika kinapelekwa kuoanishwa na kilichohifadhiwa kwenye database(stoo). Ikitokea kinamatch pc inafunguka kisipomatch ndio kama hivyo.

Jaribu kutumia Onscreen keyboard inaweza kuwa msaada.
 
Ngoja nijaribu mkuu.
 
𝐇𝐮𝐤𝐮𝐡𝐢𝐟𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐟𝐥𝐚𝐬𝐡?
 
Ikishindikana kabisa,kuna application unatumia kutoa Login passwords.

Huna haja ya kupiga Windows mpya au kulazimisha. Maana hapa umeisahau tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom