Email katika nokia yangu.MSAADA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Email katika nokia yangu.MSAADA

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Deejay nasmile, Nov 8, 2011.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wadau.Tatizo langu ni kuwa napenda ku2ma na kupokea email kupitia cm yangu nokia 3120.Na pia inipe alarm kama kuna new mail received
   
 2. networker

  networker JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  embu jaribu hii njia nenda kwenye msg settings afu chagua add email weka mail yako afu itakuliza kama isearch online configuration za au mail unayo tumia.kama vile yahoo,gmail...ikimaliza itakuja sehemu ya kuweka neno la siri weka afu ndio tayari .chamsingi soma vizuri kila njia itakayo kuliza afu ufanye
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Ngoja nijaribu.Mkuu
   
 4. l

  lowamond Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ka bado inazingua nenda GetJar | Mobile |, download kuna application inaitwa EMOZE ipo poa sana kwa issue za mail na simple kufanya configuration.
   
Loading...