Elon Musk na Katenela wake

Elon Musk na Katenela wake

Kumbe ana watoto wengi hivyo alafu anawapoteza maboya wenzake waishi na midoli ili wasipate watoto 😅🙌

Huwawezi hawa Wazungu hii ni project au mkakati wa kupunguza idadi ya watu hasa Wa Asia na Africans.
 
Huwawezi hawa Wazungu hii ni project au mkakati wa kupunguza idadi ya watu hasa Wa Asia na Africans.
Naona tulivyo mazuzu huku Afrika ndiyo tuna ishabikia kila leo, kumbe wenzetu hawataki kuona Grahams naongeza uzao 🙌
 
Yaani hizi ndio siku za mwisho zilizosemwa maarifa yatazidi kuongezeka
Hawa jamaa naona wanataka kuharakisha mwisho wa Ulimwengu.

Si uliona juzi ametangaza kufunguliwa hotel yake Sayari ya Mars
 
Mtu mbadi sana huyu Mwamba yaani hapo huyo robot awe na rangi ya chocolate kama avatar ya Aaliyyah yaani itakuwa ni [emoji7]. Nawasubiri kwa hamu hao marobot hata kama itakuwa ya kichina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo Mwamba ana akili sana. Ameangalia mbali sana. Amegundua Kuna wimbi la Mashoga na Matom boys hivyo Matom boys watafaidika sana Kwa Upande wa kike na kiume. Hivyo Ili kuweza kuwandolea stress wanaume lijali ndo maana kaona afanye hii project Nahisi itakuwa usefully Kwa wanaume lijali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3590]
 
Waleykum salam

Sasa mdoli wa nn na sisi tupo[emoji23]
Hata Mimi sipendi midoli iwepo ila nahisi amefanya research na kugundua wanaume wengi wameumizwa na mahusiano hivyo ni njia ya kuwasaidia. Sio lazima lakini
 
Yaani hizi ndio siku za mwisho zilizosemwa maarifa yatazidi kuongezeka
Siku za mwisho upendo wa wengi utapoa. Watu watapenda Pesa.... Naona tumeshafika tayari. Ndugu Kwa ndugu hawapendani tena.
 
Back
Top Bottom