Elon Musk na Katenela wake

Elon Musk na Katenela wake

Acha nichoke tu hakuna namna[emoji1787][emoji1787][emoji112]
Pale unapochoka ndipo mafanikio yapo mlangoni. Ukiona kiza kimezidi ujue kunakaribia kupambazuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elon simpendi Kabisa....
 
Na lenyewe lina fumba macho kabisa lina kiss kwa hisia et
Hiyo ndo artificial intelligence anapewa uwezo wote wa binadamu. Hisia na vyote alivyonavyo Mwanadamu naye anawekewa. Ni project kubwa sio kama tunavyofikiri.
 
Hiyo ndo artificial intelligence anapewa uwezo wote wa binadamu. Hisia na vyote alivyonavyo Mwanadamu naye anawekewa. Ni project kubwa sio kama tunavyofikiri.
Kama Kuna uwezekano wa mtu kuondolewa jinsia ya kiume Kisha akawekewa ya kike. Wenzetu wameadvance sana kwenye Technology
 
Wazee wa kataa ndoa,
Raisi wenu huyo Apo Elon Musk[emoji4]

Mwamba ana watoto 10+ na Hajaoa.

Afu watoto wote 10+ wanatambulishwa kwa mama Yao wa kambo ambae Ni roboti[emoji28]
Huyu amefanya modifications ya kupigia nyeto
 
Pale unapochoka ndipo mafanikio yapo mlangoni. Ukiona kiza kimezidi ujue kunakaribia kupambazuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elon simpendi Kabisa....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
 
Maandiko yanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana,

na ukiendelea kusoma zaidi wanasema Mungu atakupa wa Kufanana naye

Naona Bwana Elon Musk ameamua kujipa mamlaka ya Kujiundia wake 🙌


Akiendeleza huo Ufala anaweza akakosa Mrithi wa Jina lake kutokea kwenye Kiuno chake
 
We hujashtuka ?[emoji16][emoji1787]
Elon Mtu mbadi
Screenshot_20230603-153739.jpg
 
Maandiko yanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana,

na ukiendelea kusoma zaidi wanasema Mungu atakupa wa Kufanana naye

Naona Bwana Elon Musk ameamua kujipa mamlaka ya Kujiundia wake 🙌


Akiendeleza huo Ufala anaweza akakosa Mrithi wa Jina lake kutokea kwenye Kiuno chake

🤣🤣🤣🤣🤣
Mhuni ana watoto 10+
 
Mtu mbadi sana huyu Mwamba yaani hapo huyo robot awe na rangi ya chocolate kama avatar ya Aaliyyah yaani itakuwa ni 😍. Nawasubiri kwa hamu hao marobot hata kama itakuwa ya kichina 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Ngoja ikupige shot
 
Back
Top Bottom