Myahudi huyu...El kwa kiebrania ni Mungu so Majina ya kiyahudi mengi yana El...El shadai,Elijah,michael,Fanuel,gabriel,ezekiel,emmanuelDini gani hao jamaa?
Elon amehamia miaka ya juzi juzi tu apo 2010 hivi ..mimi nina 27 sasa nikisepa Kule ten years tu nakuwa billionaire japo sifikirii kutangazwa na Forbeselon alihamia na miaka mingapi?wewe una miaka mingapi?
Si ndio mkuu ..?Ahaa!
Well kama ni masikini na huna mtaji au akili ya kutengeneza pesa za kueleweka.Sii ujinga wetu wakusema graduates wajiajiri ...watu na masters anaendesha bajaj alafu tunasema kajiongeza upuuzi mtupu.
Sie ubunifu wetu ni wa survival mode wenzetu ni wamaendeleo na maendelea yanaletwa na watu kufanya kazi kulingana na kile walichosomea
umezaliwa January sioElon amehamia miaka ya juzi juzi tu apo 2010 hivi ..mimi nina 27 sasa nikisepa Kule ten years tu nakuwa billionaire japo sifikirii kutangazwa na Forbes
August ..ukizaliwa January ndo unakuwa na miakili jama elon musk??umezaliwa January sio
kuna uzi wa 2019 ulisema una 25..so kama hujazaliwa January wewe ni liongo na la kupuuzwaAugust ..ukizaliwa January ndo unakuwa na miakili jama elon musk??
Kwani huku bongo huwezi kuwa tajiri?Si ndio mkuu ..?
Kwani huu ni mwaka gani bro.. toka 2019 hadi leo ni miaka mingap..na ni uzi upi huo? Acha kuchanganya mambo mdogo wangu..kuna uzi wa 2019 ulisema una 25..so kama hujazaliwa January wewe ni liongo na la kupuuzwa
Kwenda Mars niliwahi kusikia hii habari kwamba huwenda itakuwa ni dollar milionNi kwa jinsi gani hivyo vitu ni pesa? Kwenda Mars?
Wateja wake wako wapi?
Kama hili swali ni jepesi kwako,hebu lijibu fasta.
Ule uzi uliodanganya watu upo spain.Kwani huu ni mwaka gani bro.. toka 2019 hadi leo ni miaka mingap..na ni uzi upi huo? Acha kuchanganya mambo mdogo wangu..
Wote unataka twende America Kama Elon?Sii ujinga wetu wakusema graduates wajiajiri ...watu na masters anaendesha bajaj alafu tunasema kajiongeza upuuzi mtupu.
Sie ubunifu wetu ni wa survival mode wenzetu ni wamaendeleo na maendelea yanaletwa na watu kufanya kazi kulingana na kile walichosomea
Well kama ni masikini na huna mtaji au akili ya kutengeneza pesa za kueleweka.
Basi hapo chagua uendeshe bajaji maybe kama una goals utaweza kuongeza mtaji au kubali kufa masikini kwenye nyumba ya urithi na vyeti vikifanywa dinner na panya.
Hakuna kitu wala maisha rahisi.
Considering nchi tu ni masikini.
Kwanza sijasema watu wahamie amerika.Wote unataka twende America Kama Elon?
Serikali yako Ina bajeti kiasi gani kwaajili ya tafiti na gunduzi raia wanaogundua vitu mabalimbali ili kuendeleza mawazo yao na kupatiwa mahitaji kwenye tafiti zao ili kutimiza malengo yao
Vyuo ulaya na America hawafundishi kugungua wanaheshimu mawazo ya watu na kuwasupport ili kufikia malengo ya ndiyo matokeo unayoyaona
Ndiyo usimlaumu sana magraduate lawama ni serikali zetuKwanza sijasema watu wahamie amerika.
Pili, umegonga mule mule yaani. Suala zima ni sis wenyewe kutengeneza mazimngira ambayo watu wenye talents tofauti wataweza kutumia hizo talents zao ipasavyo.
siasa zimembeba sana hasa baada ya bunge kuconfirm baiden hisa zimepanda maradufuHuyu jamaa inawezekana ndani ya mwaka mmoja utajiri wake ukatripple maana anafuatiliwa sana na watu halafu cha ajabu huwa hatangazi bidhaa zake kama kampuni nyingine
Hafanyi biashara na maskini mzee, huyu jamaa anakodisha mitambo ya kwenda angani kwa makampuni makubwa kama NASA etc, ulitengemea umskie anauza juice?Wateja ni kina nani wa kumpa huo utajiri?