Elizabeth Gupta - BBA 2009 Tz Representative

Huyu mdada eti aliwakilisha Tanzania kwenye ile show ya Big Brother. Hapa kwa kweli kachemsha. Kavaa kinguo kinachobana kwenye eneo la kwapa na matokeo yake ndiyo haya: nasty sweat stain. Huyu anahitaji prescription/ clinical strength 48-hour anti-perspirant deodorant, for real.

SANY5090.jpg
 
Takbir...
 
Kwa mrembo kama huyu............jasho kwapani kulikoni!!!Antisperspirant gel zilivyojaa hivi madukani bado mtu utoke kijasho kwapani.
 
Kwa mrembo kama huyu............jasho kwapani kulikoni!!!Antisperspirant gel zilivyojaa hivi madukani bado mtu utoke kijasho kwapani.

Pretty
Binti ni celebrity kwa sasa. Kuvaa Bongo kunahitaji ujanja la sivyo kamera za akina Nyani zinaumbua
Ila na wewe Nyani unaupekunyuzi sana wewe
 
hahahahaha.....Nimetuma contenta la fresh deodorant and KenzoAmour kibao linafika next week i hope litasaidia watu wenye jasho kali...hahahahahaha..Tembele mercy G palor salon....utazikuta.
 
hata mie sijavutiwa na hicho kikwapa kweli..kuna deodorant nyingi tu angeweza kutumia na zikamsaidia ..ukishakuwa staa kuna vitu vingi vya kuangalia
 
Ukiangalia hiyo picha vizuri mbona huyo mwenye shati jeupe nae ana madoa ya jasho kifuani na hamumsemi.... tofauti ya jasho kwapani na kifuani ni ipi? Yote sababu ya hali ya hewa bana labda walitokea mitaa yenye OVEN, so vi-deodorant vikashindwa kufanaya kazi. Wote wamependeza sana bigup guys!
 
Back
Top Bottom