SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
huyo tongora na hao wasaliti wenzeke wapigwe chini mapema wasicheleweshe ukawa kwenda magogoni
Huyo ni joka la maonyesho halina effect
huyo tongora na hao wasaliti wenzeke wapigwe chini mapema wasicheleweshe ukawa kwenda magogoni
Mtangazania Jimbo la Musoma mjini kwa tiketi ya Chadema, Eliud Tongora (a.k.a. Mkorea) anajiandaa kuipeleka Chadema mahakamani ili alipwe pesa zake sh. 6,000,000/- (milioni sita) alizowapa viongozi wa Chadema wilaya ya Musoma mjini kwa madai kuwa angepitishwa bila kupingwa kugombea Ubunge Jimbo la Musoma mjini.
Jimbo la Musoma mjini ni Jimbo linaloongozwa na Mhe. Vincent Nyerere ambae hakupatikana mara moja kujibu madai haya. Habari za ndani zinaeleza kuwa Tongora kama anavyosema, aliahidiwa pia na viongozi waandamizi wa Chadema akiwemo Rebecca Mngodo, John Shibuda na Said Arfi kuwa angepitishwa kugombea Ubunge huo wa Musoma mjini kwenye vikao vya juu vya Chadema.