Eliud Tongora kuipeleka CHADEMA Mahakamani

Eliud Tongora kuipeleka CHADEMA Mahakamani

Jinga kabisa hilo li mkorea kama lingekuwa ni kaka yangu ningeenda kulibadili kwa debe la mahindi mnadani
 
Taarifa hii ni yauongo, nimezungumza na viongozi wa Wilaya wamekanusha kupokea pesa hiyo, Mwekahazina wa Wilaya amesema wazi kuwa utaratibu wa upokeaji wa michango ya wadau na wanachama hufanywa kwakufuata misingi yote ya utawala wa fedha,

Amemtaka huyo binadamu aende kwenye vyombo vya kisheria kama anaamini yupo sahihi kwa madai yake.

Huyo jamaa ni jinga sana juzi linapita kwenye makazi yetu linahonga elfu tanotano na vipeperushi eti hili tulichague
 
Hata mimi mpaka sasa nimekula hela yake kama 20000,aje atushtaki na sisi wa mitahani aliotugawia basi kweli watoto wa Rebecca Mgondo na.Said Arfi wamechanganyikiwa
 
Mtangazania Jimbo la Musoma mjini kwa tiketi ya Chadema, Eliud Tongora (a.k.a. Mkorea) anajiandaa kuipeleka Chadema mahakamani ili alipwe pesa zake sh. 6,000,000/- (milioni sita) alizowapa viongozi wa Chadema wilaya ya Musoma mjini kwa madai kuwa angepitishwa bila kupingwa kugombea Ubunge Jimbo la Musoma mjini.

Jimbo la Musoma mjini ni Jimbo linaloongozwa na Mhe. Vincent Nyerere ambae hakupatikana mara moja kujibu madai haya. Habari za ndani zinaeleza kuwa Tongora kama anavyosema, aliahidiwa pia na viongozi waandamizi wa Chadema akiwemo Rebecca Mngodo, John Shibuda na Said Arfi kuwa angepitishwa kugombea Ubunge huo wa Musoma mjini kwenye vikao vya juu vya Chadema.

Mtangaza nia Tongora baada ya kutoona dalili zozote za ahadi yake kutekelezwa hasa baada ya Mbunge Vincent kuwa na mkutano wa hadhara wenye mafanikio, juzi Jumatatu tarehe 6/7/2015 ametishia kukipeleka Chama cha CHADEMA mahakamani au arudishiwe pesa zake. Viongozi wa wilaya wao wanadai walipokea pesa za Mtangazania huyo na si kwa kiasi anachodai kama mchango wake kwa Chama na si kama anavyodai hivi sasa.

Exi turpi causa non oritor actio
 
Mleta mada unaharufu ya unafiki afri shibuda wote wanajulikana ni kina nani hivi huyo jamaa mpaka anataka kugombea,ubunge cdm akijiu chama mpaka awape ela hao watu huu ni uongo na unafiki tena wewe unastahili kuwa kule wasaliti walipo

chadema wilaya wamebali kupokea ila kinachogombaniwa ni kiwango na zilitolewa kwa madhumuni?kuimarisha chama au hongo za ubunge
 
ukiona manyoya ujue kaliwa.....pole mkorea wenzio wachina.....hung hhaaa!
 
Yawezekana ni staili aliyotokanayo huko alikokuwa ndiyo maaana katoa Rushwa na bila aibu anatamka katoa Rushwa ili apitishwe peke yake bila kupingwa, alafu aende mjengoni kuwatetea watanganyika na nyika yao. Cha kujiuliza hizo pesa katoa wapi? Na atarudishaje ikiwa atapata nafasi. Je? Siyo sisiemu ndani ya Chadema huyo? Na ikiwa Shibuda aliongea naye pamoja na Arf kwanini asiwafuate ili wamurudishie pesa zake badala ya kusema Chadema.
 
Musoma imekuwa kama kijiji tangu Vi-cent awe mbunge. Rudisha hela au kortini. cdm bana kudadadeki na Ukawa kimenuka
 
Yawezekana ni staili aliyotokanayo huko alikokuwa ndiyo maaana katoa Rushwa na bila aibu anatamka katoa Rushwa ili apitishwe peke yake bila kupingwa, alafu aende mjengoni kuwatetea watanganyika na nyika yao. Cha kujiuliza hizo pesa katoa wapi? Na atarudishaje ikiwa atapata nafasi. Je? Siyo sisiemu ndani ya Chadema huyo? Na ikiwa Shibuda aliongea naye pamoja na Arf kwanini asiwafuate ili wamurudishie pesa zake badala ya kusema Chadema.

Rebeca Mgondo alimuahidi ka cheo ila kikapotelea hewani,akaenda TLP pia akaona hapalipi sasa hivi kapandikizwa na CCM ili watimoze ule msemo wa kufunga goli kwa mkono
 
Ukiwa ---- utaliwa tu maana hamna namna nyingine tumechoka sasa unataka kugeuza uchaguzi kuwa mnada rudi huko kwa wachumia tumbo wenzio
 
alifikiri viongozi wa chadema musoma hawana uzoefu na mazuzu, wacha ile kwake kdg
 
Musoma imekuwa kama kijiji tangu Vi-cent awe mbunge. Rudisha hela au kortini. cdm bana kudadadeki na Ukawa kimenuka

Kimenukaje sasa au na wewe ni kama huyo Tongotongo sijui Tongoranga?
 
Wengi tu wamekula hela zake na wanakula mahela yenyewe yanatoka Ccm
 
Mbona hao waliomhakikishia kupitishwa bila kupingwa sio viongozi wa chadema tena wameshajivua uanachama?
 
huyo tongora na hao wasaliti wenzeke wapigwe chini mapema wasicheleweshe ukawa kwenda magogoni
 
Back
Top Bottom