Noncommited
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,125
- 369
madai kama haya ata Afande sele aliwahi kusema kuwa aliambiwa atoe hela ili wampitishe agombee ubunge kwa tiketi ya CHADEMA morogoro mjini alikataa wakamwambia agombee udiwani ubunge nafasi zimejaa
Wanaongea vitu kama hivyo ujue si wanaCDM na hawajui Itikadi na sera za CHADEMA sababu waraka maalumu ulishatolewa makao makuu wanaohitaji kugombea uongozi wa Ubunge na madiwani wapeleke maombi yao mapema makao makuu kwa Katibu Mkuu kwa ajili ya kuwafuatilia tabia, mienendo na uadilifu wao. Hao wanaokurupuka tu kuongea walikwishasoma alama za nyakati kwamba watu wanaokwenda kukutana nao kwenye ushindani ndani ya Chama hawawezi Mfano Afande Sele Morogoro mjini alikwishaona hana uwezo wa kumshinda Dr. Malukus ambaye ni mwanasheria na mwanaharakati mwenye jina kubwa Moro.