Elimu yetu masikini!

Tanzania itaujutia sana muda huu ambao umepotea bure, huku raslimali yake muhimu kabisa ikivurugwa kiasi hiki.

Hakuna namna mbaya ya kulibaka taifa zaidi ya kuvuruga mfumo wa elimu wa taifa kama walivyoufanya akina Jakaya Kikwete.
 
sasa hivi watoto wetu wanaambiwa wasome arabic, ili iweje na kwa manufaa gani labda ukiondoa kukariri kurani? sijaelewa mpaka leo, i mean hiyo english yenyewe tu ni shida bado halafu unamuongeze mtoto another foreign language, hii akili au matope? ...
 
Elimu imekufa.Huko mashuleni watoto wengi hawajui hata kuandika lakini wanaenda sekondari. Walimu wamesahaulika,wana maisha magumu,wanadharaulika kwa sababu ya ujirq mdogo. Na wao wapo tu wanawaangalia tu watoto.

Masikini Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…