Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Nawaangalia wahitimu wetu miaka 2 ijayo watakuwa wabovu kuliko kipindi chochote hapa Tanzania.
Naongea hivi kwa kuangalia mapana na marefu ya kuondolewa topic ya Syntax form5/6 na madhara yake baadae mbeleni, ukiangalia wanavyuo wa leo hata wale waliosoma language huko a-level wana matatizo makubwa ya grammar na spelling katika kujieleza.
Hili tatizo linakuwa kubwa kuanzia o-level ambako structure ya 40% imeondolewa kiasi mtoto anamaliza yuko shallow sana, nawashauri wanamitaala waangalie upya wanaipeleka wapi elimu yetu, unawezaje kutumia lugha bila msingi wa sarufi/grammar?
Nawaachia nyie magreat thinkers.