Elimu yetu itazikwa miaka 2 ijayo

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Nawaangalia wahitimu wetu miaka 2 ijayo watakuwa wabovu kuliko kipindi chochote hapa Tanzania.

Naongea hivi kwa kuangalia mapana na marefu ya kuondolewa topic ya Syntax form5/6 na madhara yake baadae mbeleni, ukiangalia wanavyuo wa leo hata wale waliosoma language huko a-level wana matatizo makubwa ya grammar na spelling katika kujieleza.

Hili tatizo linakuwa kubwa kuanzia o-level ambako structure ya 40% imeondolewa kiasi mtoto anamaliza yuko shallow sana, nawashauri wanamitaala waangalie upya wanaipeleka wapi elimu yetu, unawezaje kutumia lugha bila msingi wa sarufi/grammar?

Nawaachia nyie magreat thinkers.
 
LOWASSA anasema ELIMU, ELIMU na ELIMU bila shaka haya uliyoyaongea Mhe. Rais ameyazingatia. Vipi ulisikia Magufuli au CCM wakiongelea kuimarisha ELIMU?? teh teh teh Rweye bwana... Au ushalamba ubwabwa umeshiba kwahiyo umeyasahau yote haya..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, umesema vema. Ila ninachokiona wahitimu watakuwa hawasemi au kuandika kwa Kiingereza fasaha, ila wanaweza wasiwe 'shallow' kwenye walichosomea!
 
Nawaangalia wahitimu wetu miaka 2 ijayo watakuwa wabovu kuliko kipindi chochote hapa Tanzania.

Naongea hivi kwa kuangalia mapana na marefu ya kuondolewa topic ya Syntax form5/6 na madhara yake baadae mbeleni, ukiangalia wanavyuo wa leo hata wale waliosoma language huko a-level wana matatizo makubwa ya grammar na spelling katika kujieleza.

Hili tatizo linakuwa kubwa kuanzia o-level ambako structure ya 40% imeondolewa kiasi mtoto anamaliza yuko shallow sana, nawashauri wanamitaala waangalie upya wanaipeleka wapi elimu yetu, unawezaje kutumia lugha bila msingi wa sarufi/grammar?

Nawaachia nyie magreat thinkers.

Ndiyo maana mgombea wenu hajui kingereza
 
Mkuu kumbuka kuongea kiingereza sio tatizo. Tatizo je mtaalamu anapatikana? Wewe umeangalia kuzalisha waalimu peke yake. Jiulize mkandarasi na kingereza wap na wap? Daktari vivyo ivyo. Wasilisha mada yako kuangalia kuleta mapinduz kielimu kama kuwashauri hao watoa mitaala iwe ni technical base na sio kukariri. Kama unamaliza 4m6 unaenda kusomea ukandarasi wakati hata chepe hulijui(beleshi)
hujawah shka hata zege, unadhani ubora wa elimu upo wapi hapo?
 
nawaangalia wahitimu wetu miaka 2 ijayo watakuwa wabovu kuliko kipindi chochote hapa tanzania.

Naongea hivi kwa kuangalia mapana na marefu ya kuondolewa topic ya syntax form5/6 na madhara yake baadae mbeleni, ukiangalia wanavyuo wa leo hata wale waliosoma language huko a-level wana matatizo makubwa ya grammar na spelling katika kujieleza.

Hili tatizo linakuwa kubwa kuanzia o-level ambako structure ya 40% imeondolewa kiasi mtoto anamaliza yuko shallow sana, nawashauri wanamitaala waangalie upya wanaipeleka wapi elimu yetu, unawezaje kutumia lugha bila msingi wa sarufi/grammar?

Nawaachia nyie magreat thinkers.
mimi nimemaliza form 6 2015. Nikiangalia past peza za form 4 na form 6 kuanzia 2005 kurudi nyuma hadi miaka ya mwanzon mwa themanini yalikua na madude yaliyosukwa kibabe mno. Na kwa mtu ukifaulu ni hongera kubwa sasa naona kama mambo rahisi coz baadhi ya topic zimeondolewa kabisa au kupunguzwa uzito najiuliza kizaz chetu ukirudishe miaka ya themanini mmmmh sijui kwa kweli kama tutaweza but wasomi wanapaswa wajipange kwanza kabla ya kukubali mtaala gani utumike na sio kuropoka tuu bila utafiti wa kina.
Dear god help me i do not know why.
 
Back
Top Bottom