Mkuu kwa uzoefu wangu haki ya mtumishi wa umma haipotei katu, suala hapa ni utekelezaji, kikubwa fuatilia na kwa kufanya hivyo hata huyo mwajiri wako next time atajua nini cha kufanya mapema. Ndugu zangu kulalamika bila kuchukua hatua hayatakwisha haya matatizo, simama fuatilia!!!!mkuu Alzadawi,nnachokilaumu ni kutopewa haki zangu kama pesa ya uhamisho na mshahara kulingana na kiwango cha elimu,
haya yanapaswa kutolewa kwenda sambamba na kuongezeka kwa majukum,kutofanya hivyo ni kuzidi kuwaibia waalimu,