Pamoja mkuuMkuu ujumbe wako umizingatiwa
Unatuchora. Nani aache kazi kisa kuna kazi nyingine tena ya jeshi kwa msimu huu wa JPM wa kubana matumizi na kupunguza mishahara. Bora angekua anataka kuji freelance(kujiajiri) ningeona ni sawawakuu naomba kujuzwa,
Kuna rafiki yangu kamaliza degree ya sheria na ana master ya business administration, sasa juzi apa ameacha kazi ili ajipange kuingia jeshini.
Mimi sina information za kutosha kuhusu jeshi, kwa iyo sikuweza kumpa ideas za maana, ila kwa upande wake yeye ana sema kwa elimu yake akiingia jeshini basi atakuwa kweny position nzuri.
Wakuu naombeni kujuzwa kuhusu hilo.