Elimu yako imekusaidia vipi?

Elimu yako imekusaidia vipi?

Swali la kizushi mkuu hapo ukipata kazi ya profession yako utaifanya au?
 
Being a pilot is a profession? tuache masihara hizo ni skills tu za kuendesha hicho chombo, hivyo vyombo vikiwa vingi kila mtu atakua na hizo skills, ni kama udereva, wewe endelea kulima tu, umefanya la maana.
Sidhani kama anaijua maana ya Elimu vizuri.

Kujua kusoma na Kuandika ni moja ya faida za Elimu.Huku kutaka kuwa na ajira nzuri, mara sijui Usafiri mzuri nk ni matokeo tu ya struggling zako za kimtaa na si faida za elimu.

Haya ndiyo mambo ambayo Kiyosaki anayapigia kelele kutwa katika vitabu vyake.
 
Me elimu yangu imenisaidia kupanua ufaham wa Kujua mengi zaidi na kukutana na wa tanzania mbali mbali wenye mawazo chanya na hasi.......... Kazi kwako kuitendea haki elimu niliopata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hhaaa wachaga niliwadharau sana walipokazania kufundisha biashara watt wao no matter wako shule ama laahh sasa ndo naelewa kwa nn mama alihakikisha najua biashara walau ndogo,,,waliona mbali mno
Kweli mkuu, biashara ni muhimu sana ,
 
Sidhani kama anaijua maana ya Elimu vizuri.

Kujua kusoma na Kuandika ni moja ya faida za Elimu.Huku kutaka kuwa na ajira nzuri, mara sijui Usafiri mzuri nk ni matokeo tu ya struggling zako za kimtaa na si faida za elimu.

Haya ndiyo mambo ambayo Kiyosaki anayapigia kelele kutwa katika vitabu vyake.
To anassume unataliwa ufike form four (ordinary level) equal to 11years plus 7 equal to 18 ,unaanza kutafuta kuanzia miaka 19 -20
 
Jev
Sidhani kama anaijua maana ya Elimu vizuri.

Kujua kusoma na Kuandika ni moja ya faida za Elimu.Huku kutaka kuwa na ajira nzuri, mara sijui Usafiri mzuri nk ni matokeo tu ya struggling zako za kimtaa na si faida za elimu.

Haya ndiyo mambo ambayo Kiyosaki anayapigia kelele kutwa katika vitabu vyake.
angalia nguvu au resources na mafanikio vinalingana , tafuta return on investment ratio
 
Sidhani kama anaijua maana ya Elimu vizuri.

Kujua kusoma na Kuandika ni moja ya faida za Elimu.Huku kutaka kuwa na ajira nzuri, mara sijui Usafiri mzuri nk ni matokeo tu ya struggling zako za kimtaa na si faida za elimu.

Haya ndiyo mambo ambayo Kiyosaki anayapigia kelele kutwa katika vitabu vyake.
Sasa mbona watoto hatuwambii ukweli kwamba elimu sio kila kitu kwenye maisha , yaani kufaulu kwenye elimu sio ndio umefaulu maisha
 
Back
Top Bottom