habari zenu wana JF! nimekua na mipango ya kwenda kusoma ulaya kwa ajili ya kupata exposure lakini nasikia habari za ubaguzi hasa wa rangi! je vitendo hivi bado vipo na kwa nchi zipi naomba experience yenu wadau!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.