hii elimu imefichwa kwa sababu tofauti tofauti..., ila mtoa mada unatakiwa uwe makini katika kutoa elimu hii kiholela. kwa mtu ambae amekua na personal experience kuhusiana na haya mambo hawezi kuyazungumza hadharani, sio kwa sababu ni mbaya ila ni kwa sababu ni hatari kwa mtu ambaye hayupo tayari kuzipokea. kwa mfano dini inafundisha kua mbinguni ni sehemu nzuri ya kukutana na mungu (kulingana na imani), ila kutokana na personal experience, mbinguni ni sehemu hatari sana kwa mtu asiyejitambua, ni hatari kuliko mtu anavyoweza kufikiria. kwa hiyo mtoa mada..., hii ni kwa ushauri tu usije ukaleta madhara kwa wengine ambao hawajajiandaa kwa ajili ya haya mambo ndugu.