Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
Hongera wewe ulieandika kama profesa teh teh teh

hv mkuu ùmewah waona wafuasi wa ponda wanavyotia huruma? nahisi na huyo yumo wanamiliki madevu tu hawawzi hata hesabu ya kutoa
 

Hapa umedanganya, mengine yote ni sawa, A Level hakupata 1, alipata Division 2!. But All in all, Mnyika ana uwezo sana, na nimefanya naye kazi YUNA, TYVA, na TAYOA, ni jembe mbaya!
 
Watz mmekalia elimu elimu wenzenu mafisadi ndio wanafurahi nyie hamjui mnajiona wajanja kumbe ujinga tu na vizazi vyetu.
 
hapo form 6 hayo matokeo ni uongo.
na nikurekebishe, mnyika hakusoma na kina zitto. pia mnyika alisoma evening program/part time, BBA
 
Hivi singo ya kadi ya CCM alonayo Dr. Slaa ilikufa, sasa wamekuja na singo mpya
 
Hapa umedanganya, mengine yote ni sawa, A Level hakupata 1, alipata Division 2!. But All in all, Mnyika ana uwezo sana, na nimefanya naye kazi YUNA, TYVA, na TAYOA, ni jembe mbaya!
hata wewe umedanganya. hakupata division 2.
 
Mtoa mada na yeye anashule ndoo maana ametumia heading ya Mnyika ili kuvuta watu. Hoja yake ya msingi ni kwamba haoni uhusiano kati ya vyeti na utendaji. Ametoa mfano wa wizara ya mambo ya ndani chini ya Mr. Mrema na Dr. Nchimbi. Na kwa uchambuzi wake anaona wizara ilikuwa inafanya vizuri chini ya Mr. kuliko sasa chini ya Dr?
Binafsi siungi mkono wala kupinga hoja yake kwani nimeona watu wa kawaida wakifanya kazi nzuri sana kama Mr. Samwel Sita na nimeona wasomi wakifanya mambo kama Dr. Magufuli (PhD) and Dr. Mwakyembe (PhD). So kwangu ni hulka ya mtu ndiyo mhimu na si vyeti alivyonavyo
 
Kwa hyo ana BBA?

mkuu ninachojua alisoma. sasa kumaliza na kuwa nayo BBA sifahamu. muulizeni yeye kama aligraduate au vipi. mimi sikumbuki kama aligraduate au la. ninachojua alisoma BBA evening program
 

Mkuu, nakubaliana na wewe 90%, lakini hapa kwa bold, Sitta (LLB Graduate) si wa kawaida mkuu, fuatilia historia yake na jinsi alivyowahamisha vijana wa chuo kikuu kwenda Ikulu, na adhabu walizopewa na akina Mwabulambo!
 
NYIE SEMENI YOTE LAKN HUYU JAMAA NI MZURI KWNYE UONGZ NA ANAFAA KUWA RAIS WE2 HAPO BAADAE take it frm me
 
thats greatful....jamaa niwa aina yake.....
 

ZeMarcopolo ninavyompima kulingana na kiherehere chake....ni kuwa hata stashahada sioni kama anayo........but I stand to be corrected!
 

Mpitagwa labda unisaidie zuri la Magufuli na Mwakyembe zaidi ya bomoabomoa na kwa mwenzie kuingilia bodi na watendaji kwenye wizara yake................akifikiria yeye pekee ndiyo TZ.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…